luganolugy Member Joined Oct 13, 2016 Posts 37 Reaction score 5 Oct 20, 2016 #1 Maisha yatakuaje vyuoni hasa mwaka wa Kwanzaa MAANA wanafunzi wengi tunatoka familia za wenye uwezo wa chini Wazazi wetu walitegemea tumefaulu vizuri na lazima tupate MKOPO kumbe mh daaaaa Wengi tunaacha vyuo coz ya pesa
Maisha yatakuaje vyuoni hasa mwaka wa Kwanzaa MAANA wanafunzi wengi tunatoka familia za wenye uwezo wa chini Wazazi wetu walitegemea tumefaulu vizuri na lazima tupate MKOPO kumbe mh daaaaa Wengi tunaacha vyuo coz ya pesa
C Calulator JF-Expert Member Joined Jan 20, 2016 Posts 243 Reaction score 171 Oct 20, 2016 #2 Mje tuongeze wachumba..maana hela za boom saiv week tu zishaisha..jeuri kwisha kazi..
wazirib28 JF-Expert Member Joined Dec 14, 2015 Posts 460 Reaction score 275 Oct 21, 2016 #3 Upo Tanzania ipi?