Hali mbaya ya Njaa nchini: Mifugo inakufa, Mvua hakuna na Viongozi wanaogopa kusema!

Napendekeza serikali ije na agizo la upandaji miti nchi nzima.

Na kukata mti wowote iwe kwa kibali maalum. ..

Ili kurudisha hali ya mazingira kwenye ubora wake.

Najua mto uliokuwa haukauki wakati tukiwa watoto wadogo siku hizi maji yanapita wakati wa mvua tu.

Maamuzi magumu yafanywe kwenye swala la mazingira
 
QUOTE="Waterloo, post: 19214032, member: 32721"]Ndio lugha gani hiyo mkuu?[/QUOTE]
Hii ni methali ya Wazanaki, "ukifichaficha maradhi, kilio kitakuumbua "
 
Back
Top Bottom