Hali mbaya UKAWA

Kama una akili timamu huwez kuishabikia ukawa

Watu wasiokuwa na ilani
kama unabisha hilo
naomba mnitumie picha ya ilani yenu
frontpage

N walevi wachache tu ndio wanaoshabikia majambazi kama sumaye
na lowasa
 
Mbowe kauziwa mbuzi kwenye gunia kufika nalo nyumbani kakuta gunia la mavi. Sasa jamaa zetu umeuziwa gunia la mavi haliuziki hilo. Ushindi wa asilimia 65 ni kidogo sana ni zaidi ya 70% ukichanganya na Lowassa ni 90% maana kuna 15% ilimfata Lowassa kama hawakumfata kumbe Chadema tambo zoooote hizo hamna kitu. Fankuuuuro
 
Kama una akili timamu huwez kuishabikia ukawa

Watu wasiokuwa na ilani
kama unabisha hilo
naomba mnitumie picha ya ilani yenu
frontpage

N walevi wachache tu ndio wanaoshabikia majambazi kama sumaye
na lowasa

sasa inakuhusu nn ww mwenye akili timamu iache na 25 oct ndio mtajua kua hatuna akili timamu
 
Maelfu ya wakazi wakiwa wamefurika kumsikiliza mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli .
 

wewe ni lacuna au lakum..........?
 
Dr Magufuli katika Ubora wake
Maelfu ya wakazi wakiwa wamefurika kumsikiliza mgombea Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli .
 
Changanya na matokeo ya twaweza utapata jibu kamili jinsi CCM inavyotapatapa.
 
Kuna watu ni wavivu wa kufikili cjapata kuona
 
Na mgombea wa chama twawala aliyelalamika kwamba kuna watu mchana ni ccm na usiku chadema ni vipi?bado mshikamano upo chama twawala?
 
Diamond peke take ukimleta Kwa viwanja vikubwa kama taifa/kirumba Kwa kiinglio cha buku 5 au 2 unatengeneza mafuriko ya wa2 ..Leo unatembea na Fiesta ..unatengeneza mafuriko ynajisifu ma ccm tunajidharirisha
 
Katika hilo hali ni mbaya sana chadema katika uchaguzi huu na kuna hatari kubwa sana ya kupoteza majimbo mengi kama mwandishi alivyosema.Chama kinachoshika dola kwa sasa uwezekano wa kushinda majimbo mengi ni mkubwa sana hata zaidi ya hapo awali.

kaja kumsapoti mwenzie....kweli hapo kaaazi kweli kweli
 

Duh!!! UKAWA wamevurugana mtoa mada chama cha ukweli kitabak CCM daima
 
usiku huu nimewashuhudia watu wenye bendera za ccm huku wakiimba PE..OPLE....S
PO....WE...R....
Nikayakumbuka maneno ya mgombea wetu
"...mchana ccm, usiku ukawa!!"
ndipo nikajua KULA CCM, KURA UKAWA
 
Ukawa ni kam genge la wa2 wanaotaka madaraka lakini hawana Sera ya maana, mfumo wao haueleweki yaan wanaoisapot inabd wapimwe akili kwanz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…