wana parallel supply yao... Hata hao wa upanga huwa wanaenda kwenye madanguro yao kawe na msasani
nasema hivi... wahindi hawako affected mkuumkuu wafanyabiashara wanne au kumi
yasituganye tuchukie wahindi wote
wapo wahindi malofa vile vile na ni waathirika wa tatizo hili pia
nasema hivi... Wahindi hawako affected mkuu
acha ubishi, wana parallel supply yao....
Chunguza useme
sichukii wahindi wala waarab bali naweka wazi kwamba they have the upper hand kwenye hili
Kwa kweli there is no better way to explain shida za mafuta, umeme, nk.
Upande wa wafanyabiashara, wana hoja na zina mantiki... hasa kuhusu ulaghai!!
Upande wa serikali... tunasikia kujadili, kutoa notice etc.
upande wetu, hali mbaya sana... wapo wanaojifungulia njiani, wanakosa elimu, wanaokosa vipato nk
kinachoniudhi ni jinsi wahindi na waarabu ambavyo hadi sasa hawajaathirika... this just confirm kwamba wana mitandao na serikali zao ndani ya hii nhci na hawaathiriki kwa namna yoyote na janga hili.... THEY HAVE ESTABLISHED THEIR OWN FUEL SUPPLY SYSTEMS
SAD!!
<br />Hebu elezea hiyo fuel supply system ya wahindi.
<br />Mbona huo ni mwanzo tu.bdo miaka4.
CCM are stuck between a rock and a hard place. Most of oil business magnates are purpoted major party sponsors, and they played a great deal of contribution to put CCM into power. So how could CCM act senselessly and cut the hand that feeds them?