hii shule nasikia watu wanaisifia sana sana...nilikuwa nawaza nimpeleke mwanangu hapo sasa naona kama unataka kunikatisha tamaa...ila nasikia academic wako vizuri...Imenibidi nieleze humu hali Mbaya iliyopo Atlas Primary School Madale Dar es salaam.
1. Mabweni ya wanafunzi hayaisha kujengwa japo watoto wanalala na kuishi humo. Mabweni ni ghorofa lakini hayana milango mashariki na magharibi mwisho mean mabweni Hali inayohatarisha maisha ya watoto has a wanao kaa ghorofa ya nne na tatu. Kati ya m as bweni ya wavulana na wasichana Kuna ngazi hazina vizuizi hii ni hatari.
2.Watoto hulazimika kuchota maji chini tank la nje Hadi juu ghorofa ya pili. tatu a nne mara tatu au zaidi kwa siku kwa kuwa hakuna matank ya juu. Hali hii inawatesa watoto. Maji salama inawabidi kuogea gel badala ya sabuni.
3,Mfumo wa maji taka si mzuri mafuriko hadi karibu ya jengo la utawala hatari kwa afya..
4.Chumba kimoja cha darasa wanafunzi mia hadi mia na hamsini.
Taasisi husika zifuatilie na kutatua matatizo haya tusije juta baadaye
Toa mtoto wako hapo. Mie nilimtoa wangu.Imenibidi nieleze humu hali Mbaya iliyopo Atlas Primary School Madale Dar es salaam.
Taasisi husika zifuatilie na kutatua matatizo haya tusije juta baadaye
mabweni shule ya msingi! Mzazi unaondoka mtoto amelala, unarudi mtoto amesharudi kutoka shule na amelala. inabaki kuonana 'weekends', nayo huonani na mwanao kisa yupo 'boarding'. malezi ulimwachia house girl na sasa matron/patron! Kizazi kijacho kitachapa bakora wazazi wao maana anakuonaona tu na malezi anapewa na watu wasiohusika saana kimalezi! Ukimletea atakurudi maana hamfahamiani vyema kimzazi na mtoto!Imenibidi nieleze humu hali Mbaya iliyopo Atlas Primary School Madale Dar es salaam.
1. Mabweni ya wanafunzi hayaisha kujengwa japo watoto wanalala na kuishi humo. Mabweni ni ghorofa lakini hayana milango mashariki na magharibi mwisho mean mabweni Hali inayohatarisha maisha ya watoto has a wanao kaa ghorofa ya nne na tatu. Kati ya m as bweni ya wavulana na wasichana Kuna ngazi hazina vizuizi hii ni hatari.
2.Watoto hulazimika kuchota maji chini tank la nje Hadi juu ghorofa ya pili. tatu a nne mara tatu au zaidi kwa siku kwa kuwa hakuna matank ya juu. Hali hii inawatesa watoto. Maji salama inawabidi kuogea gel badala ya sabuni.
3,Mfumo wa maji taka si mzuri mafuriko hadi karibu ya jengo la utawala hatari kwa afya..
4.Chumba kimoja cha darasa wanafunzi mia hadi mia na hamsini.
Taasisi husika zifuatilie na kutatua matatizo haya tusije juta baadaye
Hilo la kutolipa waalimu nimeliskia kwa mdau mmoja anafanya kazi hapo, naskia anapendelea zaidi wakenya kuliko wazawa. wizara husika fuatilieni swala hili, kama mnaweza kuwafungia wasanii kwa kuvaa uchi ina maana hili hamlioni? Mnataka watoto wafe ndo mchukue hatua?Pamoja na hivyo huyo bwana hawalipagi walimu. Unakuta wanafanya miezi mingi bila kulipwa kisingizio eti wanajenga jengo.
Kaka mkubwa hayajakukuta! Mshukuru Mungu wewe unakaa na watoto wako unajenga bond.hivi mtoto wa primary boarding anaenda fanya nini?
bond na wazazi wake anaijenga saa ngapi?
hamjifunzi IST wazungu wanasomesha day watoto wao.
kanumba au kayumba?Aiseeee
Pesa zinafanya wamiliki wa shule wasijali mengi.
Ila nashangaa hao watoto hawana wazazi wawapendao kweli kweli na kuwasomesha hapo katika khali hiyo au hawaambiwi na au wakiambiwa wanafunga masikio..
Ni kulalamika wakibisha mtu unaondoa watoto kupeleka kwingine..
Bora hata za Kanumba.. ningefurahi kama zingerudi kuwa vile zilikuwa enzi hizooo za zama za kale.
Mtoto wa Kizungu na Mtoto wa Kibantu, tofauti!hivi mtoto wa primary boarding anaenda fanya nini?
bond na wazazi wake anaijenga saa ngapi?
hamjifunzi IST wazungu wanasomesha day watoto wao.