Hali inapokuwa tete

Ndibalema

JF-Expert Member
Apr 26, 2008
10,956
4,648
Inapobidi.

attachment.php
 

Attachments

  • mwizi.jpg
    mwizi.jpg
    19.7 KB · Views: 275
Kwa kweli hiyo ni strategy nzuri sana, vinginevyo wananchi wanweza kukua kabisa, polisi kama ni mmoja huwa anazidiwa kabisa na wananchi, isitoshe polisi mwenyew hana silaha.......

KAMATIA BABA UOKOE MAISHA YAKO
 
Hii inanikumbusha enzi zileee za treni ya kati. Tumesafiri na vizee vya kimang'ati tukafika ITIGI, kumbe kulikuwa na kibaka alimchomolea moja wao hela. Kidingi kikamshtukia wakati anashuka....wachaa weee! walianza kumpiga virungu vya kichwa....kibaka anatimua mbio kuelekea kituo cha polisi.....mpaka ndaniiiiii, wazee wanaendelea kumgonga tu na virungu, polisi wakazidiwa nguvu.....kibaka ndani ya meza lakini bado virungu vinamkuta!. Ndipo polisi walipowatishia bunduki hao wazee ndio wakaacha.....ilikuwa "live" burudani aiseee!
 
Duh! Jamaa anaona roho inamtoka kabisa, ameamua kung'ang'ania kama luba
 
Vitofa vya kichwa balaa..
Kufa hufi cha moto baba..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom