Kabulala
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 695
- 935
- Thread starter
- #21
No matter how you look at it ... you will still fall into my core issue here.. the well-being of our society... besides different set of ideas are tolerated..free minds makes great ideas..Kudos for your remarksSi kweli Mugabe aliwapenda wazimbu Nyerere na Mandela angalau waliwapenda watu wao.Ian Smith ndie aliyeijenga zimbu mugabe akaibomoa,mugabe alipigania maslai yake binafsi,ya familia yake na maswaiba wake kina mnangagwa nk.Mugabe aliishi kifalme kwa kujenga mahekalu kuanzia ulaya hadi nchi za Asia aliwaibia fedha wazimbu na kuzificha ulaya.Akuboresha huduma za afya nchini mwake akijua anatibiwa ulaya.Mugabe Hana tofauti na mobutu,bokasa,abacha,na kamuzu banda kuishi kifahari kwa gharama ya kuwafukarisha watu wao.Hakuwa mzalendo zaidi ya Wa kwenye jukwaa.Aliwapora ardhi wananchi wake waliokuwa na uwezo wa kulima kwa mashine wakiuza nje kupata fedha za kigeni na chakula na kuwagawia maswaiba zake wasioweza kulima hata kwa jembe la mkono.Ni heri Zimbu ya Ian Smith iliyojaa amani,ajira,chakula,utajiri nk kuliko zimbu ya mugabe iliyo ufukara,njaa,ukosefu wa amani.
Waafrika tumeshindwa jitawala