ommy15
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 670
- 1,012
Bwana Liondo naomba ufafanuzi kwamba unitofautishie kati ya hizo fikra za kitumwa ( ambazo kwa maoni yako ndio waafrika wengi tunazo) vs fikra mbadala wa hizo za kitumwa.Yaani kikubwa ambacho nimekiona kwa waafrika wengi ni kuwa tulipata uhuru wa kujitawala kama nchi lakini fikra bado ni za kitumwa sana na hapa ndio penye mzizi wa tatizo letu.