themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 988
- 3,318
Naona Hali ndio inazidi kuwa tete kila kukicha hasa awamu hii ,wanaokusifia ni wale wanaopata mkate ni lazima watetee matumbo yao ila kiuhalisia hali ni ngumu
Mafuta ambayo ndio mgongo wa uchumi wa nchi yamepanda bei sana now yanakaribia 3500 kwa lita jambo ambalo ni la Hatari
Garama za maisha kupanda, kila kona vitu vimepanda bei kwa kasi ya kutisha katika awamu hii
Bima ya Afya kuwa na hali ngumu hadi Baadhi ya madawa kuondolewa nay hii ni doa kubwa sana, kitendo cha NHIF kupatwa na misukosuko ni kielelezo kuwa hali ni tete
kubinafsishwa sekta muhim ambazo hazikustahili kubinafsishwa kwa waarabu nalo sio jambo jema kabisa litakuja kutucost huko mbeleni
Umeme wa kusua sua pamoja na maji
Kuweka tozo kila kona
Hayo yote ni mwananchi ndio anazidi kuumia ila Watu wanatoka bila aibu unaskia anatuvusha, jamani hamna aibu?