PostGE2025 Hali ilivyo Dar (Posta), asubuhi Desemba 9, 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Nyakijooga

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
427
Reaction score
666
Mwandishi wa Habari wa BBC akionesha hali ilivyo katika Jiji la Dar es salaam leo Desemba 9, 2025, ikiwa ni maadhimisho ya miaka 64 kumbukumbu ya siku ya uhuru.

Ikumbukwe kufuatia madai ya kuwepo kwa maandamano, Serikali kupitia mamlaka zake ikiwemo Wizara ya Mambo ya ndani ilisema kuwa maandamano hayo hayakubaliki kwa kuwa yameshindwa kuzingatia misingi ya kisheria.

Pamoja na katazo hilo Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba wakati akitoa salamu za maadhimisho ya siku ya uhuru kwaniaba ya Rais Samia Suluhu Hassan alitoa wito kwa watu wasiokuwa na dharura au ulazima wa kutoka wabakie majumbani mwao.
 
Hata Waziri Mkuu asingetoa tamuko bado kungekuwa hakuna watu wala shughuli.The issue is kila wakati Gen-z wakiitisha maandamano hali itakuwa hivi_kama alivyo wahi kusema Gwajima kutawala nchi katika hali hii haina afya kwa kweli.
 
Afike na ukanda wa Gaza

View: https://www.facebook.com/share/v/1HcnFBQucF/
 
Hata Waziri Mkuu asingetoa tamuko bado kungekuwa hakuna watu wala shughuli.The issue is kila wakati Gen-z wakiitisha maandamano hali itakuwa hivi_kama alivyo wahi kusema Gwajima kutawala nchi katika hali hii haina afya kwa kweli.
Shida kweli kweli
 
Hapa Gen-Z wakitoa tamko kwamba maandamano yao ni endelevu na kwamba yataanza muda na siku yoyote, hapo ndiyo hawa watoa matamko watachoka kabisa.

Sidhani kama hawa CCM na vyombo vyake wamejiandaa kukabiliana na strategy hiyo.
 
wanghairi iwe D10, tena na tena, na kesho zijazo kuwe hivyo hivyo, mpaka watie akili
 
Mtu umeingia kinyemela kwenye uongozi alafu unataka ufike 2030....
Kwa hali hii nchi imekuwa paralysed kichwani upo sawasawasawa kweli?....kwani lazima uwe wewe?...na sisi tukuulize who are you?...unamuongoza nani katika hali hii....unaua nchi aisee
 
UZURI WATANZANIA WENGI WAMEAMUA KUFUNGA MKANDA NA MAMA

ATAKAYE FANYA KILE WANACHOKIITA MANDAMANO YA AMANI HUYO NI KIBAKA MOJA KWA MOJA PIA KUNA WAZEE WALIOKENGEUKA WANAOWALISHA SUMU VIJANA NAO DAWA YAO INACHEMKA
 
Back
Top Bottom