The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,151
- 20,077
Baeleze hao watoto wasiojua kitu ,DSE bado inakua ni vitu vya kawaida hivyo
Ilizaliwa lini?DSE bado inakua ni vitu vya kawaida hivyo
Mkuu, UVCCM member ana 45, sasa hapo jibu utalipata.Ilizaliwa lini?
Chini ya uongozi wa Rais Dr John Pombe Magufuli jembe kutoka ChatoJuhudi za awamu ya tano
Tuliambiwa pia ghala la Taifa lina chakula na akiba ya kutosha, janga la corona lilipofika haikuwezekana hata ku lockdown Dar tu ambako kuna Milango mikubwa ya nchi.Mbona kila siku wanatuambia kwamba mzigo umepaa?
Wewe akili huna.Kwa hiyo unataka kusemaje? Hali ikoje kwenye masoko mengine ya hisa duniani? LSE, TSE,NSE etc mambo yakoje huko? Hii hali imesababishwa na nini? Aliyepost huu uzi utakuta msomi kabisa tena amesoma CFI, unashindwaje kuhusianisha kile ulichosoma na prevailing real situation? Hata usipopata ajira kwa miaka nenda rudi sitashangaa.Buuuure kabisa.
Acha mihemkoKwa hiyo unataka kusemaje? Hali ikoje kwenye masoko mengine ya hisa duniani? LSE, TSE,NSE etc mambo yakoje huko? Hii hali imesababishwa na nini? Aliyepost huu uzi utakuta msomi kabisa tena amesoma CFI, unashindwaje kuhusianisha kile ulichosoma na prevailing real situation? Hata usipopata ajira kwa miaka nenda rudi sitashangaa.Buuuure kabisa.
Wewe ni mhujumu uchumi.Tarehe 5 May 2020 hakuna hisa hata moja iliyouzwa. Yaani trading volume ni sifuri.
Dar es Salaam Stock Exchange ina kampuni 24 au 25 zilizosajiliwa.
Maana yake no selling or buying of shares. Hii niishara kua there is poor or low liquidity in the market
Wataalamu wa uchumi watatusaidia kujua kwa nini hali hii imetokea. Hii ni muujiza wa kwenye vitabu vya rekodi za Dunia.
View attachment 1469821