Hali hii ya kutojiamini inatokana na nini?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,042
Kipindi cha nyuma hapo nilikuwa mtu ambaye nilikuwa najiamini saana katika masuala mbalimbali lakini siku hizi nimepoteza kabisa kujiamini kwangu mpaka inafika kipindi naogopa kabisa hata kutongoza wanawake au kusimamia ninachokiona kiko sahihi kwangu

Yaani kwa ufupi nimepoteza confidence yangu

Nimekuwa kiherehere

Hivi hali ya kupoteza confidence inatokana nini?

Na nini ni fanye ili kurudisha hali yangu ya kujiamini?
 
Unakoelekea utapoteza na marinda maana utaambiwa leta spika kwakua hujiamini itaigawa wahuni wataila ndo itakua man down man down
 
Kipindi cha nyuma hapo nilikuwa mtu ambaye nilikuwa najiamini saana katika masuala mbalimbali lakini siku hizi nimepoteza kabisa kujiamini kwangu mpaka inafika kipindi naogopa kabisa hata kutongoza wanawake au kusimamia ninachokiona kiko sahihi kwangu

Yaani kwa ufupi nimepoteza confidence yangu

Nimekuwa kiherehere

Hivi hali ya kupoteza confidence inatokana nini?

Na nini ni fanye ili kurudisha hali yangu ya kujiamini?
kama uko nyetoni, baki hukohuko
utanishukuru baadaye
 
1.nyeto
2.porno
3.kujilinganisha na watu
4.kutokuwa na direction ya Maisha,kitu unachokipambania
5.erection problems &lack of enough sex
6.shame and guilt from past experiences

Haya mtoa mada umedondokea wapi
 
Ya 1,2,4
 
LAck of enough sex ni propaganda tu si kweli.
Hata erection problems ina ukakasi.
Porn na nyeto unazisingizia tu.
NI sawa na kusema leo hii Jakaya akianza kupiga nyeto atapoteza confidence, si kweli.

3, 4 na 6 ni sababu kuu kwa watu wengi.
 
Mambo ya kiroho haya, cha msingi achana na dhambi. Dhambi itakuzuia kusimama mbele ya umma.
 
Kipindi cha nyuma hapo nilikuwa mtu ambaye nilikuwa najiamini saana katika masuala mbalimbali lakini siku hizi nimepoteza kabisa kujiamini kwangu mpaka inafika kipindi naogopa kabisa hata kutongoza wanawake au kusimamia ninachokiona kiko sahihi kwangu

Yaani kwa ufupi nimepoteza confidence yangu

Nimekuwa kiherehere

Hivi hali ya kupoteza confidence inatokana nini?

Na nini ni fanye ili kurudisha hali yangu ya kujiamini?
Hali ya kiuchumi afu huna nguvu za kiume....
 
Back
Top Bottom