Hali halisi ya mambo ndani ya CCM itaanza kujionyesha kupitia mahudhurio ya viongozi wastaafu katika shughuli au sherehe za kitaifa na zile za chama

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Hivi sasa baadhi ya viongozi na wanacha wa CCM wanatumia nguvu kubwa kutaka kuaminisha umma kuwa ndani ya CCM hali ni shwari na hakuna mgogoro wala mpasuko kama inavyosemwa na baadhi ya watu na hata badhi ya vyombo vya habari ingawa matamshi ya viongozi wa chama hiki pamoja na yale ya baadhi ya wabunge wa hiki chama na watu wengine katika chama hiki yanaonyesha hali si shwari kama wanavyotaka tuamini.

Binafsi, naamini hali halisi ya mambo katika chama hiki tutaanza kuiona kupitia mahudhurio ya viongozi wastaafu katika sherehe au shughuli za kitaifa za kiserikali kama vile sherehe za Uhuru na zile Muungano au zile za kichama kama vile sherehe ya kuzaliwa kwa CCM,n.k.

Tuombe uzima tu kujua ukweli ni upi.
 
Tatizo mlijua kuvua gamba ni issue nyepesi kama karatasi. Hapa ndo gamba linatoka CCM japo inakuwa kama ya 1977
 
Hivi sasa baadhi ya viongozi na wanacha wa CCM wanatumia nguvu kubwa kutaka kuaminisha umma kuwa ndani ya CCM hali ni shwari na hakuna mgogoro wala mpasuko kama inavyosemwa na baadhi ya watu na hata badhi ya vyombo vya habari ingawa matamshi ya viongozi wa chama hiki pamoja na yale ya baadhi ya wabunge wa hiki chama na watu wengine katika chama hiki yanaonyesha hali si shwari kama wanavyotaka tuamini.

Binafsi, naamini hali halisi ya mambo katika chama hiki tutaanza kuiona kupitia mahudhurio ya viongozi wastaafu katika sherehe au shughuli za kitaifa za kiserikali kama vile sherehe za Uhuru na zile Muungano au zile za kichama kama vile sherehe ya kuzaliwa kwa CCM,n.k.

Tuombe uzima tu kujua ukweli ni upi.
Watahudhuria 'under protest' kwa vile wakileta fyoko mafwao yanafyekelewa mbali
 
Kuna kauli aliwahi kuisema Mbowe nyakati fulani, sikumbuki ilikuwa kwenye tukio gani lakini kubwa alisema katika nchi hii hakuna aliye salama kama wanaojeruhiwa na kupigwa ni wale unaowanyooshea kidole upande ule kwamba wanapigwa, basi wakimaliza kule hakuna kinachofuata zaidi ya kurudi upande huu.

Na ndo kinachotokea kwasasa tayari washamaliza upande ule sasa wamehamia upande huu ambako ndiko mpigaji alipo, sasa maafa ni kotekote.

Huu ni wakati wa kulia na kila mliaji yafaa ashike kichwa chake. Maana hakuna wakumpa pole mwenzie. Hakuna anayejua kwake watafika lini.

Dhamira ni kila mtu aguswe kama alivyoguswa mwengine iwe kwa udogo ama kwa ukubwa iwe kimfumo ama kimkakati.
 
Laana inawatesa hawa watu!!
 
Hii ilisemwa na comredy lissu
 
Back
Top Bottom