e2n
JF-Expert Member
- Dec 24, 2015
- 637
- 793
Habar zenu wakuu poleni Na kazi za ujenzi wa taifa.
Moja kwa moja niende kwenye mada husika. Kwa sasa hali mashuleni co nzuri kutokana na serikali kupuuzia mambo ya msingi katika elimu. Mambo hayo ni pamoja na kuto ajiri walimu wapya wakati huo walimu waliofikia muda wakustaafu wakienfelea kustaafu bila kuwepo watu wa kuziba pengo lao. Naomba nitoe mfano Luna shule INA waalimu 3 tu wanafundisha kuanzia awali hadi darasa la saba, na mwalimu mmoja anamasomo zaidi ya 21 ambayo anatakiwa kuyafundisha peke take. Na wakati huo huo mkija kumkagua mnataka mumkute na azimio, andalio,shajara, nukuu, zana na mkoba wa kazi.
Jiulize mwalimu huyo atawezaje kuyamudu majukumu hayo yote ki vipi na istoshe shule za serikali zikifelisha mnaanza kumtafuta mchawi nani wakati wachawi ni ninyi wenyewe TAMISEMI na TET ambao mnasababisha kushuka kwa ufanisi wa shule zetu kutokana na kupuuzia mambo ya msingi.
wakati huo huo mwalimu akifanya kazi ya kujitolewa njoo kwenye mshahara anaopata ndo utachoka kabisa. unakuta mwalimu analipwa 419000 basic na baada ya makato 350000 na hana cover time wala posho yoyote kwa kazi yake kubwa anayoifanya.
jamani serikali hebu kuweni na huruma na hawa walimu na mkijifanya wabishi basi hasara mtapata ninyi kwa kuendelea kupata zero za kutosha. Maana sasa wata watajaza maazimio na maandalio vzr Ila ufundishaji hewa ndo mtajua vita ya mwalimu ni kubwa sana.
Ninamengi ya kuongea ila niishie halo na wenzangu mchangie maana inaumiza sana.