Hali bado tete CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Mlipota utahangaika sana bosiwenu kapanda cheo mtalipoti sana mambo yakijinga jinga kamamnafikili kupitia ------
 
Mwanaripota wetu utaifakwanza zile ripoti zako ulizokuwa unatupa wakati unasafiri na jangili mkuu wa kisomali AbdulKindovu Katembo utaendelea kuripoti tena au?? Kwasababu naona baba Asha ameongeza MIZIGO zaidi badala ya kuipunguza kama jangili alivyotaka
 
Last edited by a moderator:
Mwandishi

unaonekana wazi uko biased! Nilidhani hoja yako ni objective, kumbe ni subjective! Kwa heri!
 

Porojo tu hapo... masalia mnatapatapa. Kutoka kwa MM kunaizoofisha vp KU?

Pole sana salia, sasa ni muda wako wa kutilia dada achana na issue za CHADEMA
 
cdm ni wauza sumu, hakuna mtu mbinafsi duniani kama Babu Slaa

Malizia kabisa,Mkiti wa bodi ya hospitali y CCBRT moja kati ya hospitali zilizofanikiwa sana.
Mtukane Slaa utakavyo lkn ujue ndani ya RC huwi katibu wa baraza la maaskofu mtu mburula
 

ubongo wako ndio tete mwigulu mkubwa weee,,,,
 
Huu ni mning'inio wa kukosa uwaziri!
 
Chama cha walaghai na mawaziri kivuli lazima wawe walaghai tu.
 
hivi ni sheria ndizo zinazosema kuwa ni lazima chama chenye viti vingi bungeni kuunda baraza kivuli bila kushirikisha vyama vingine ama ni utashi tu wa chama husika?
kwa maoni yangu ningependa vyama pinzani kuunganisha nguvu na kuwa na baraza lenye muunganiko wa vyama vyote vyenye wabunge,hii ingesaidia kuleta mshikamano na kuondoa utengano,maana vyama vyote hivi madhumuni yao yanafanana.
 
Mbowe ndiyo kirusi ndani ya CHADEMA akiondoka madarakani(mwenyekiti) chama kitafika mbali zaidi.
 
Furaha yangu itatimia wakichapana kabisa!!!!!

Ukishakula nyama ya mtu utaendelea kula milele....

Ngoja nitengeneze picha...ngumi za kavukavu Slaa vs Mbowe ....Mbowe akitaka amkalishe babu Slaa ahakikishe hakuna fimbo jirani....maana kina garma kwa kutumia fimbo ni noma.....
 
Mleta mada unachekesha sana Yaani kila kukicha ni kuipa promo chadema . hakuna ujinga huo chadema wala si suala la kutufanya tukutane . hiyo umeipanga asubuhi ili uwahi kupata buku saba zako ukanywe chai.zungumzia mawaziri mizigo na siyo chadema.
 
Kazana kuropoka dhidi ya chadema unaweza kufikiriwa kuwa naibu waziri
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…