PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,516
- 13,270
Ohooooo!!!Ila mtoto laini Isee!! Huku kwetu akina wema na akina wolper wanashinda labour kuchomoa watoto ili waonekane sister du huku hawajui kwamba ni mama wafiwa..
-Ndumilakuwili-
Ohooooo!!!Ila mtoto laini Isee!! Huku kwetu akina wema na akina wolper wanashinda labour kuchomoa watoto ili waonekane sister du huku hawajui kwamba ni mama wafiwa..
Duh!!!Ndio kinywaji anachokunywa, why not?
Mi maza wangu anapika na bia zake pembeni akitoka jikoni kashafuta sita
Huyo anaigiza tu. Na wine pembeni!
Pilau tamu lahitaji jiko la mkaa sio gas.Huyo anaigiza tu. Na wine pembeni!
Mmengalia kwa wasiwasi asee ... mwiko tosha kabisa huo!hata mi nimeangalia huo mwiko nimejua anaigiza tuu
...lakini si anaigiza tu huyo..
Wapi unapatikana?Kwa wahitaji wa madela bei ya jumla ni 5000tu! Karibuni!
DuuuKwa wahitaji wa madela bei ya jumla ni 5000tu! Karibuni!