Halafu baadaye mtuambie mapenzi ya Mungu.

Salaaale!!!sijui ni ukosefu wa elimu ama nini maana hapo wanakitafuta kifo.
 
Nimeupenda huo ubunifu. Naamini ingekuwa ni maafande wamefanya hivyo wangesifiwa saaana Wazee wa kazi.
 
Huwezi kulaumu bila kujua sababu iliyosababisha watu hao kuchukua hatua ya ku-risk, unaweza kuta huko wanakotoka ndo kubaya sudi. Je wamependa??
 
Hapo ndipo msemo huu unatumika "Kila kitu kinawezekana chini ya jua''
 
Salaaale!!!sijui ni ukosefu wa elimu ama nini maana hapo wanakitafuta kifo.
Hahahaaa hao wamesoma law of floatation na archemedes prinsple wapo mondo vibaya ndio maana wanafanya hayo aide hawa ni noma
 
Makomandoo wetu wanaweza kuiga haya maarifa,ni maarifa adimu na yana faa yaigwe na vijana wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…