Hakushirikishwa!

Samahani nilipotea kidogo, kazi za nyumbani zilichukua priority. Anyways, kurudi kwenye hii ishu, mama mtoto amethibitisha kuwa mtoto kweli alichanjwa na babu yake. Baba mtoto hakutaka kusema ukweli sababu bibie amekulia mjini na alikuwa anaogopa asingekubali mtoto kufanyiwa mambo ya kimila. Wameongea na kuyamaliza. Nimemshauri kuwa haya ni mambo madogo, na si kwamba huyu baba atakuwa amemfanyia mambo mabaya. Binafsi, sioni tofauti kati ya haya mambo ya kimila na mambo na mambo ya dini. Tofauti yetu ni kuwa tuko mstari wa mbele kukemea mambo ya kimila na kukumbatia dini zilizoletwa na wakoloni. That's just my opinion, kama nilivyosema mimi si mtu wa dini, ni spiritual ndio maana nilileta mada hapa.

Mama na baba wote ni wasomi, na si washirikina (according to her). Binafsi ningechukia sana kama baba watoto angefanya yote haya behind my back, but it's not enough to end the marriage. What's done is done, we move on. Lakini ole wake arudie....:laser:
 
HoneyBee ,kuna tofauti kati ya mambo ya mila na mambo ya dini
'
Lakini pia kuna tofauti kati ya uchawi na mila pia!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…