mimi ni very Catholic.....so he says. Kumbuka dada hakuwepo, mtoto alirudi akiwa na kama majivu kwenye paji la uso. Is this a catholic thing ?
kwa upande wangu sijui kama huu ni mgogoro mdogo kwa kweli.....Vitu vingine vina hitaji simple mind je kwa hiyo anahisi kuwa anaweza kumchagulia mwanae bad option kwa nn isizungumzwe kwa lugha laini tu yaishe.Kuhusu majivu yawezekana ilikuwa siku ya jumatano ya majivu au vyovyote vile ila yamepakwa kwa nia njema.Inaelekea ndoa yao ina uhadimu wa migogoro ndo maana huu mdogo unapewa nafasi.
so he says. Kumbuka dada hakuwepo, mtoto alirudi akiwa na kama majivu kwenye paji la uso. Is this a catholic thing ?
ha haaa sijasema kuomba ruhusa, nimesema kutoa taarifa.FP hivi ninapotaka kutoka na mtoto wangu ni mpaka nimjulishe mke wangu kuwa natoka nae?
'
This is insane,mtoto wangu mwenyewe halafu nitoe taarifa kwa nani?Labda hapo nyumbani kuwe hakuna mtu,kwanza mtoto mdogo hawezi kuachwa peke yake
'
Siombi ruhusa na taarifa sikupi,utapata taarifa kwa HG utakapotoka kazini!
kwa upande wangu sijui kama huu ni mgogoro mdogo kwa kweli.....
najiuliza haya maswali sana tu...
1. kwa nini baba aamue kumchukua mtoto nyumbani na kumpeleka kokote kule bila kumfahamisha mama mtoto? (hii nina maana hata kama baba kafika nyumbani anaamua kutoka na mtoto ni vizuri akampigia mkewe kumwambia kuwa natoka na mtoto tunaenda kutembea.
2. kama walienda kufanya maombi au mila, kwa nini mama asijuilishwe? ina maana hicho kitu kilikuja ghafla sana? kama ni kitu ambacho kilipangwa kwa nini mama mtu hakuambiwa in advance ili naye apange ratiba yake ahudhurie maombi ya mtoto? hata kama itashindikana kupanga ratiba zake basi angewaruhusu tu waendelee lakini akiwa anajua nini kinaendelea
3. hao wazazi kwa nini wasiende kufanyia hayo maombi nyumbani kwa mtoto? Mungu si yupo sehemu yoyote? labda waseme kwamba walienda kanisani au sijui wapi sehemu maalumu
Kiukweli mimi naona mume hakufanya sahihi kabisa kubeba mtoto kumpeleka huko walikoenda bila kumpa taarifa mkewe.
Hayo ni mawazo yangu
Sijajua hayo majivu kama ni ya kitu gani ila kama ni mkatoliki majivu hupakwa jumatano ya majivu kama ni ishara ya kuanza kwaresma
'
Nadhani huyo mama sio mkatoliki ndio maana amechukia,kuna kasumba ya madhehebu mengine kutokupenda ibada na taratibu za ki-Catholic,wao hudhani na kuamini ni za kipagani
'
Huyo dada alichochukia sio mtoto kuombewa bali kufanyiwa maombi ya kikatoliki ambayo kwake ni upagani
'
Tatizo ndo hilo!
FP hivi ninapotaka kutoka na mtoto wangu ni mpaka nimjulishe mke wangu kuwa natoka nae?
'
This is insane,mtoto wangu mwenyewe halafu nitoe taarifa kwa nani?Labda hapo nyumbani kuwe hakuna mtu,kwanza mtoto mdogo hawezi kuachwa peke yake
'
Siombi ruhusa na taarifa sikupi,utapata taarifa kwa HG utakapotoka kazini!
alimpeleka kwenye maombi ya kanisani au ya kwenye matambiko???
Dada huyo Mama km ni rafiki yako na sio wewe mwambie kabisa ni Mkorofi kwa sababu kila mchango unaoambiwa wewe unamtetea,huoni tatizo kwa mama kukosa milestone za mtoto?
Ukwaju FP Eiyer Kongosho Lyagwa
UPDATE
Nimeongea na dada tena amesema wakati anamuogesha amekuta ana alama za kuchanjwa kichwani, kifuani na mgongoni.
I knew something was fishy. Anasubiri kuyaongelea na mumewe akitoka kazini. I wish them all the best.
Ukwaju, sidhani kama unaelewa kinachoendelea hapa. Wewe mkeo angeenda kumfanyia first born wako mambo ya kimila bila kukutaarifu ungejisikiaje? Hakuna cha degree wila kiburi hapa, nyie mwanamke akidiriki kukuhoji swala fulani mnasema ana kiburi. Of course namtetea, she's my friend and I can see her frustration.

Sisi wakatoliki tuliobobea tunakuhakikishia kuwa umesema vema. Proud to be a Catholic.mimi ni very Catholic.....
hayo majivu huwa yanapakwa siku ya Juma5 ya majivu tu, tena kanisani siyo nyumbani kwa watu......
kama nimekosea hili naomba Elizabeth Dominic, Asprin, snowhite na Wakatolic wengine wanisaidie hapa
Ukwaju FP Eiyer Kongosho Lyagwa
UPDATE
Nimeongea na dada tena amesema wakati anamuogesha amekuta ana alama za kuchanjwa kichwani, kifuani na mgongoni.
I knew something was fishy. Anasubiri kuyaongelea na mumewe akitoka kazini. I wish them all the best.
Ukwaju, sidhani kama unaelewa kinachoendelea hapa. Wewe mkeo angeenda kumfanyia first born wako mambo ya kimila bila kukutaarifu ungejisikiaje? Hakuna cha degree wila kiburi hapa, nyie mwanamke akidiriki kukuhoji swala fulani mnasema ana kiburi. Of course namtetea, she's my friend and I can see her frustration.
Soma vizuri...Mimi ndo nilisema si mwanamaombi, ila wao (dada na mmewe) ni wakristo ila dhehebu tofauti.