Hakupendi!!! #njooo hapa#

Zumbe Kimweru

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2014
Posts
340
Reaction score
28
Unampenda hakupendi!! hakika leo ni mwisho . Twende sawia ujue jinsi gani akupende!!! MBINU RAHISI: 1. lazima ujue nyota ya upendaye au anayemtaka na alama ya nyota yake.2. Ubani mashtaka,sindano ya mkono 1,kitambaa cha mkono cheusi kimoja,mshumaa mwekundu 1. HATUA: tumia sindano kuandika jina la mwanamke/ mwanaume umpendaye kwenye mshumaa kisha toboa mshumaa huo utokeze kama alama ya kujumlisha . Baada ya hapo tandaza kitambaa chini kisha weka mshumaa,washa mshumaa anza kunyunyiza ungaunga wa ubani kwenye mashumaa ilitoe moshi . Shughuli hii uifanye saa 6 usiku kwa siku tatu mfululizo kwenye pembe ya ndani ya chumba chako yenye uelekeo alipo umtakaye ,na fanya kwa dakika 10. Baada ya hapo kusanya mabaki weka kwenye hicho kitambaa cheusi kisha usiku huo huo nenda chooni tupaaa!!! Sema maneno haya : KUPITIA NYOTA YAKO YA..........., NAFUNGA AKILI YAKO MAWAZO YAKO YOTE ,FULANI.....,NIPENDE!!!NIPENDE!!!NIPENDE ,MAWAZO YAKO YANIELEKEE MIMI DAIMA .USINIACHE MPAKA NIKUACHE!!! baada ya hapo wadau jisadie kidogo kama una haja kama huna flash choo ,rudi ukalale..Kumbuka: fanya hivi siku tatu , ukimaliza subiri baada ya siku saba pia kama una picha yake andika au chora alama ya nyota yake aidha yaweza kuwa moto au maji au yoyote, nyuma ya picha yake weka hayo maneno ya kutamka kisha flash na hayo mabaki...huongeza nguvu sana...ni hayo tu..wakuu .
 
Last edited by a moderator:
siamini mambo kama hayo,ukiwa unaamini mambo kama hayo huna tofauti na mganga wa kienyeji au mchawi
 
Huo sasa wanga...penzi halilazimishwi...
 
Hakuna kitu hapa........hupendwi.......chapa mwendo..........
 
hahaha ngojaaa ni mfanyie preta hahaha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…