Hakunaga viwanja vya million 1 Kibaha, ogopa matapeli

Ghost.js

Senior Member
Jul 1, 2015
158
327
Tunafanya kazi kwa uaminifu
Kama unaitaji kiwanja Kibaha kwa mfipa(upande wa chuo)

Viwanja vilivyopimwa(vyenye Hati) sqm 400 ni million 6.5

Viwanja ambavyo havijapimwa sqm 400 ni million 4(inajumuisha gharama zote za kuandikishiana)

Viwanja vyote vipo ndani ya km 2 toka moro road

Umeme upo, maji ya dawasco yapo

Boda boda ni buku tu

Kupelekwa site utalipia 10k

Karibu V & SON ENTERPRISES
0744757738
IMG-20230731-WA0001_1.jpg


Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Mimi numenunua Cha milioni moja laki tano Kama na wewe unahitaji, sema nikupeeleke.
 
Back
Top Bottom