abdulhamis
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 1,436
- 2,292
Suala la Rais kusema anawakaribisha wawekezaji wakenya kwenye kuwekeza katika Madin yetu. Ili suala halipo maana Kenya sasa hivi wanalia njaa vibaya nchi ambayo haina mamilionea wa kutosha tena Tanzania tunawazid mbali.
Suala la wakenyakuja kuwekeza Tanzania hilo suala hamna ila tayari kuna viongozi watawatumia wakenya kuwa ni wawekezaji kutoka Kenya na kwenda kuuza Madini yetu Kenya. Wwote Tunakumbuka kipindi cha Kikwete, Kenya iliongoza kwa uuzaji wa madini Afrika Mashariki wakati ardhi yao ina milungi tu.
Itakavyokuwa kwenye Madini ni kama vile ilivyokuwa kwenye korosho, wote tunajua Biashara ya korosho alijimilikisha mtu mmoja hivi Mbunge wa huko wote mnamjua.