apo mm namtoa stamina tu lakn hao wengne wote wako poWa kabsa2.Dizasta vina
3.stamina
4.Monicetralzone
5.Con boi
6.Salmin swagg
7.Young killer
Bro!Nyakati Zinabadilika Rap Game ni Sehemu ya Burudani Pia...Sio Kila Muda Uimbe Matatizo Tu...Kumbuka Hata Pac Kwenye Ngom Kama How do u Want....Me And My Girlfriend Hakuna Cha Maana Sana Alichoimba Zaidi ya Ma beef tu aliyokuwa nayo dhidi ya Masela.Acha Baadhi Ya Rappers Wa"Base" Kwenye Kuimba Reality na Wengine Waimbe Rap ya Kuburudisha Then Wasikilizaji Ndio Wataamua Wamsikilize Yupi Wamwache Yupi..By The Way Kuanzia Mamtoni Hadi Huku Uswahilini "Soft Rap" Ndio Inasikilizwa Zaidi.Angalia AudioMack Then Compare Listeners wa Nikki mbishi na Listeners wa young Lunya.. Listeners Wa Joey Baddas na Listeners Wa Lil Uzi Vert...Music is Dynamic!Mwanahip anatakiwa kurap ukweli na sio kurap uongo uongo ambao haupo, lunya ni rapper mwepesi sana hauwezi kumsimamisha ata na Nikki mbishi, bongo kuna rappers wanakuzwa na media houses tu lakini hakuna kitu ni kama ROSA REE tu hauwezi msimamisha na Frida Amani wala Chemical
100%Kifupi ni kwamba dogo anatembea na nyakati.
Ila kuna wabishi na wasioelewa kwamba bendera hupepea na beat la upepo wao wamekomaa tuu na upande mmoja.....wao wanauita "Ukweli"
Dunia ya sasa inaendeshwa kwa software,angalia movie za sasa ndo utaelewa. Na ndo maana wengi wamepotea kwa game