Hakuna wa kumfikia Adson Arantes Dos`Nacimento (Pele)

Kumpata mchezaji Bora wa Karne iliyopita ilibidi FIFA waandae Kura toka kwa mashabiki wa soka kote duniani. Walishindanishwa Pele na Maradona. Kura zikahesabiwa na matokeo Diego Maradona akaibuka pale juu kabisa.

Kwa kuwa FIFA inamtumia Pele Kama chombo chake Cha propaganda wakadai pamoja na Diego kushinda tuzo hiyo lakini alikuwa ni mtovu wa nidhamu na ni MLA madawa ya kulevya. Hivyo wakalazimisha tuzo iende kwa wote wawili. Siku ya kutoa tuzo, inajua Diego alisema Nini? Sikwambii mtafute Gang Chomba atakwambia.

Ndani ya uwanja Pele kacheza na mabeki midebwedo. Alitakiwa akutane na mabeki wenye toho mbaya Kama Nigal de Jong, Frank Lebouf, n alike.
Pili hajacheza soka ulaya. Kwa kifupi Pele alikuwa mchezaji nzuri Kama walivyo kina Messi na cr7. Johonn cruffy na kina van Basten.
Mijadala Kama hii tushaichoka.
Bado kashata.
 
Ni kweli kipindi Cha Pele game ilikuwa physical Sana... Na hapakuwepo na sheria za kuwalinda wachezaji Kama hii leo.

Mfano tackling from behind ilikuwa inaruhusiwa na ilikuwa ni kawaida sana kufanyiwa tackling na wachezaji wawili kwa wakati mmoja, kuvunjwa mguu ilikuwa ni kugusa tu.

Lakini pia Kipindi hicho sheria ya offside ilikuwa ni dhaifu Sana na wachezaji wenye mbio na wanaojua kuibia Kama Pele walifungamagoli mengi....naamini kabisa Leo hii tukimrudisha mtu Kama Chicharito au Inzaghi kipindi kile wangefunga magoli angalau 800 kwa kila mtu.

Nimalize kwa kusema Pele angecheza zama hizi ambapo kuna defenders wanaotumia zaidi akili kuliko nguvu asingefikisha hizo goli buku.

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
kwahiyo refa alikua na kazi gani uwanjani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom