MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 6,579
- 11,791
Ndugu Watanzania, Urais ni ngazi ya juu kabisa ya uongozi Tanzania, mtu anatakiwa kuishindania, lazima kujua ana maono na nia gani kwa Taifa, hakuna Urais wa viti Maalum, CCM wanatakiwa warudi kwenye Ground zero.
Aliyewahi kumsikia Samia anasema ana maono gani na Hili Taifa aweke hapa, hata michango yake ya Bungeni au hata alivyokuwa mjumbe wa Tume ya Katiba
Aliyewahi kumsikia Samia anasema ana maono gani na Hili Taifa aweke hapa, hata michango yake ya Bungeni au hata alivyokuwa mjumbe wa Tume ya Katiba