Hakuna UKAWA, kuna vivuli vya CHADEMA

Hakuna UKAWA, kuna vivuli vya CHADEMA

singidadodoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,394
Reaction score
1,538
Ukawa ni mpango wa pili (plan b),wa viongozi wakuu wa chama hicho, baada ya kufanya maamuzi ovyo yaliyoyakera wapenzi wa demokrasi nchini kwa kuwafukuza wanachama wake muhimu, Zitto Kabwe, na Prof Mkumbo ili kulinda maslahi yao binafsi, na kasha kuonekana dalili za wazi za kuyumba kwa chama hicho, ilikuwa ni lazima watafute mpango wa pili utakaoiwezesha Chadema kuwa chama kikuu cha upinzani nchini.

Tatizo lililokuwepo katika utekelezaji wa mpango huo wa pili, ni sababu. Ikawa inatafutwa sababau inayoweza kuwashawishi Cuf na NCCR mageuzi, vyama ambavyo vina wabunge bungeni ili kwa pamoja na wabunge wa chadema waendelee kuwa wamoja ili kuhakikisha kwamba malengo yao ya kuona nchi haitawaliki na haikaliki yanatimia.

Wakati viongozi wakuu hao wa chadema wakitafakari utekelezaji huo wa plan b, watawaingia cuf na nccr mageuzi kwa hoja gani hadi washawishike na kuungana nao, likaja suala la bunge maalum la katiba na katiba iliyopendekezwa.

Bunge maalim likawaunganish abaadhi ya wabunge wa chadema, cuf na nccr mageuzi katika hoja ya mfumo wa muunganobwenye serikali tatu. Kima Pro. Ibrahim Lipumba na Jems Mbatia pasipo kufahamu mpango kabambe ulioandaliwa na chadema, wakajikuta wamenasa.

Haraka haraka kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani bungeni, Freeman Mbowe akavunja baraza lake la mawaziri kivuli lililokuwa chini ya chadema pekee. Baraza la mawaziri lililoundwa kwa mbwembwe nyingi, mwaka 2010. Kejeli na matusi ya mbele ya wabunge wa cuf wakiitwa CCM-B kwa sababu kukubali kwao kutanguliza mbele maslahi ya taifa lao la Zanziba kwa kuunda serikali ya umoja wa kitaifa kwa kushirikiana na CCM.

Kwa hiyo kwa, kwa mtu yeyote mweledi anayeufaham mpango wa pili wa chadema anapowasikia Prof. Lipumba, Mbatia na mwenzao Dr. Emmanul Makadidi, wakizungumzia masuala ya ukawa kusimamisha mgombea wa pamoja wa urais anashangaa. Je chadema wako tayari kuona mgombea wa urais akitoka Cuf au Nccr mageuzi?

Chadema, kupitia kamati kuu yake , kimetangaza kwamba mgombea wake wa uraisatajulikana August 4,mwaka huu. August 4 zitakuwa zimebaki siku kumi za kabla ya kuanza kampeni za uchaguzi mkuu, kama kampeni hizo zitaanza August 15 au siku15 kama kampeni hizo zitaanza August 20.

Swali ndani ya siku hizo chache zinaweza kukaa na kupata muafaka wa kuwa nani agombee urais kwa tiketi ya ukawa na atakayetoka nje ya chadema? Na kama ataoka nje ya chadema ukawa wanaou tayari mfuko wa pamoja wa( Ukawa basket fund) wa kugharamia kampeni hizo za mgombea uraiswa Jamhuri ya muungano wa Tanazania kutoka nje ya chadema?

Mpaka hapo kwanini sisi wengine tusiamini kuwa vyama vya CUF, NCCR Mageuzi na NLD vinavyojiita ukawa ni vivuli vya chadema.

Chanzo: Tazama

kweli mleta mada kaona mbali maana yake hata jf tunawaona bavicha tu, hakuna cuf wala nccr mageuzi lakini hali ilivyo siku za ukawa zinahesabika
 
Mfa maji bana ....yaaani hata waleta post wao nao wamechoka kama serikali yao?
 
Kwa taarifa yako mgombea urais wa Ukawa anajulikana hawana presha wala nini ila ninyi mtakuwa kama fisi anarsubiri mkono wa binadamu
udondoke wakati binadamu anaendelea na safari yake kwa madaha. CCM mwaka
huu mtakoma kulinga
 
Ninyi mainterahamwe je ni Nani aliyewaroga? Ukawa haiwezi kufa kamwe kuwa propaganda zenu za kipuuzi. Kamwe. Maalim huko Zenji chochea moto! Makaidi huko chochea moto! Mbatia pande hizoooo chochea motooooo bila kusahau kamanda wa anga Mbowe chochea chochea chochea moto tuyaondoe haya maccm yaliyochoka hoi bin taabani!
 
Unategemea nini tofauti toka kwenye gazeti la lowassa mmiliki wa kikoba cha ACT
 
Upawa hakuna kitu wanapotezana maboya tu kila mtu atashika njia yake mapema kabisa.
 
Mbona mnaanza kuweweseka mapema sana sasa kama hamna UKAWA mna hofu gani kuijadili ,
 
Hivi ndilo tatizo la Bavicha, badala ya kujibu hoja mnaleta porojo na kejeli! Jbuni hoja
 
Ukawa ni mpango wa pili (plan b),wa viongozi wakuu wa chama hicho, baada ya kufanya maamuzi ovyo yaliyoyakera wapenzi wa demokrasi nchini kwa kuwafukuza wanachama wake muhimu, Zitto Kabwe, na Prof Mkumbo ili kulinda maslahi yao binafsi, na kasha kuonekana dalili za wazi za kuyumba kwa chama hicho, ilikuwa ni lazima watafute mpango wa pili utakaoiwezesha Chadema kuwa chama kikuu cha upinzani nchini.

Tatizo lililokuwepo katika utekelezaji wa mpango huo wa pili, ni sababu. Ikawa inatafutwa sababau inayoweza kuwashawishi Cuf na NCCR mageuzi, vyama ambavyo vina wabunge bungeni ili kwa pamoja na wabunge wa chadema waendelee kuwa wamoja ili kuhakikisha kwamba malengo yao ya kuona nchi haitawaliki na haikaliki yanatimia.

Wakati viongozi wakuu hao wa chadema wakitafakari utekelezaji huo wa plan b, watawaingia cuf na nccr mageuzi kwa hoja gani hadi washawishike na kuungana nao, likaja suala la bunge maalum la katiba na katiba iliyopendekezwa.

Bunge maalim likawaunganish abaadhi ya wabunge wa chadema, cuf na nccr mageuzi katika hoja ya mfumo wa muunganobwenye serikali tatu. Kima Pro. Ibrahim Lipumba na Jems Mbatia pasipo kufahamu mpango kabambe ulioandaliwa na chadema, wakajikuta wamenasa.

Haraka haraka kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani bungeni, Freeman Mbowe akavunja baraza lake la mawaziri kivuli lililokuwa chini ya chadema pekee. Baraza la mawaziri lililoundwa kwa mbwembwe nyingi, mwaka 2010. Kejeli na matusi ya mbele ya wabunge wa cuf wakiitwa CCM-B kwa sababu kukubali kwao kutanguliza mbele maslahi ya taifa lao la Zanziba kwa kuunda serikali ya umoja wa kitaifa kwa kushirikiana na CCM.

Kwa hiyo kwa, kwa mtu yeyote mweledi anayeufaham mpango wa pili wa chadema anapowasikia Prof. Lipumba, Mbatia na mwenzao Dr. Emmanul Makadidi, wakizungumzia masuala ya ukawa kusimamisha mgombea wa pamoja wa urais anashangaa. Je chadema wako tayari kuona mgombea wa urais akitoka Cuf au Nccr mageuzi?

Chadema, kupitia kamati kuu yake , kimetangaza kwamba mgombea wake wa uraisatajulikana August 4,mwaka huu. August 4 zitakuwa zimebaki siku kumi za kabla ya kuanza kampeni za uchaguzi mkuu, kama kampeni hizo zitaanza August 15 au siku15 kama kampeni hizo zitaanza August 20.

Swali ndani ya siku hizo chache zinaweza kukaa na kupata muafaka wa kuwa nani agombee urais kwa tiketi ya ukawa na atakayetoka nje ya chadema? Na kama ataoka nje ya chadema ukawa wanaou tayari mfuko wa pamoja wa( Ukawa basket fund) wa kugharamia kampeni hizo za mgombea uraiswa Jamhuri ya muungano wa Tanazania kutoka nje ya chadema?

Mpaka hapo kwanini sisi wengine tusiamini kuwa vyama vya CUF, NCCR Mageuzi na NLD vinavyojiita ukawa ni vivuli vya chadema.

Chanzo: Tazama

vua gwanda vaa uzalendo

Ndorobo...!!!
 
Si mmekipata chama mlichotamani kujiunga nacho kwavile CHADEMA haiwafai?ACT hiyo ijengeni sasa.Kila siku CHADEMA CHADEMA tushawachoka sasa.
 
Back
Top Bottom