Hakuna UKAWA, kuna vivuli vya CHADEMA

Hakuna UKAWA, kuna vivuli vya CHADEMA

Hivi ndilo tatizo la Bavicha, badala ya kujibu hoja mnaleta porojo na kejeli! Jbuni hoja

Hoja gani ipo hapo mkuu?Ukawa haitoi kik kwa Chadema.Mm ni CCM lakn naona Cdm ni chama chenye ushawishi mkubwa nchini na uchaguzı ukienda vizuri wanauweza wa kunyakua zaidı ya nusu ya majimbo yote ya bara.
 
Hoja gani ipo hapo mkuu?Ukawa haitoi kik kwa Chadema.Mm ni CCM lakn naona Cdm ni chama chenye ushawishi mkubwa nchini na uchaguzı ukienda vizuri wanauweza wa kunyakua zaidı ya nusu ya majimbo yote ya bara.



hahaaaaaa hiyo kilimanjaro wanashindwa kuchukua yote sembuse tanzania nzima acha kujidanganya wewe
 
Hayo ni pesa na mambo mengine ya ukawa yanawahusu nini nyie makada wa magamba!!??

Hili gazeti si ndio la kina Charles Charles!??
 
Kwa taarifa yako mgombea urais wa Ukawa anajulikana hawana presha wala nini ila ninyi mtakuwa kama fisi anarsubiri mkono wa binadamu
udondoke wakati binadamu anaendelea na safari yake kwa madaha. CCM mwaka
huu mtakoma kulinga

kama anajulikana sema nani? sio unambwela mbwela
 
Ninyi mainterahamwe je ni Nani aliyewaroga? Ukawa haiwezi kufa kamwe kuwa propaganda zenu za kipuuzi. Kamwe. Maalim huko Zenji chochea moto! Makaidi huko chochea moto! Mbatia pande hizoooo chochea motooooo bila kusahau kamanda wa anga Mbowe chochea chochea chochea moto tuyaondoe haya maccm yaliyochoka hoi bin taabani!

mbona siku za ukawa zinahesabika
 
Utasubiri sana na akili zako finyu za kukosa hoja na kuanzisha uzushi. Zile milioni 700 ulizoombwa na nanihii ili kuisambaratisha CHADEMA zimeishia wapi?

mbona siku za ukawa zinahesabika
 
Back
Top Bottom