Hakuna ugonjwa wa UKIMWI

Hii nayo kali, ina maana hata HIV/AIDS hujawahi kuisikia. Shukuru Mungu umekuta angalau kuna vitu vya kuvifubaza VIRUS vile ni hatari hasa kipindi havijapata mfubazo enzi hizo ukimuona mtu ukaambiwa ana ugonjwa wa 'SLIM' ilikuwa hatari.
 
nkiupata nini? mimi Kinga haziwezi kupungua kwasababu nafanya mazoezi na nakula mlo bora, nkiumwa natumia dawa...jaribu na ww usijepata upungufu wa kinga aseee
Kwa sasa, ringa kama hujaupata ila ukiingia 18 zako hutakuwa na moyo wa kutuandikia huu upupu
 
Umewahi kupima lakini au unawadanganya wenzako kisa wewe unaogopa kwenda kupima..!
 
Huyu jamaa kama hatumi lile jani haramu basi amepita mitandaoni amekutana na taarifa zisizo sahihi/conspiracy ambazo zimejaa kuhusu hili swala.bila shaka huyu jamaa hana utaalamu wowote wa afya.
 
ARV zimeanza hivi karibuni,kipindi ugonjwa unaingia nchini tuliona watu walivyokonda na kuteseka hadi kifo lakini siku hizi hizo dawa zinaficha mnasikia alikuwa na ngoma baada ya kufa hata hamuamini maana alikuwa vizuru tuu,ndio maana watu siku hizi hata hawauogopi.
 
Kama ukimwi hakuna nenda kona baa piga DRY mademu wa pale kwa mda wa mwezi kisha kaa miezi mitatu kapime ngoma kisha ulete majibu humu.
Hili jibu hata kama ni mbishi kiasi gani ataelewa tu. Nimeshuhudia Ukimwi umeua watu 6 kwenye mtaa wetu.
Mtoa uzi tuwasiliane kuna wanawake wawili wameathirika na UKIMWI (Japo yy haamini) nataka ukapige mashie dry. Gharama zote juu yangu. Nahitaji kuthibitisha kama UKIMWI haupo. Ni pm
 
Wewe ujanua sana kushinda madr ?wewe naelimu yako ya darasa la Nene unataka kupotosha akili kubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…