Hakuna ugonjwa wa Ebola Tanzania: Waziri Ummy Mwalimu

cheusimangala_

Senior Member
Dec 1, 2018
114
174
Serikali imesema hakuna mgonjwa yeyote aliyethibitika kuwa na ugonjwa wa ebola hapa nchini, yawataka wananchi mikoa yote kuchukua tahadhari ugonjwa usiingie nchini

Serikali imesema hakuna mgonjwa yeyote aliyethibitika kuwa na ugonjwa wa ebola hapa nchini, yawataka wananchi mikoa yote kuchukua tahadhari ugonjwa usiingie nchini

View attachment 1207074

Mzazi wangu Mwalimu Ummy, wala huaminiki katu. Mswalie mtume wetu (SAS)! kama ulimfukuza Mwele ntuli malecela kwa vile alisema kuna sero positivity ya zika virus antibodies among some Tanzanians, leo tutakuaminije Mwalimu?
 
Haikuwa ebola ilikuwa zika virus. Tuweke record Sawa
Mzazi wangu Mwalimu Ummy, wala huaminiki katu. Mswalie mtume wetu (SAS)! kama ulimfukuza Mwele ntuli malecela kwa vile alisema kuna sero positivity ya ebora virus antibodies among some Tanzanians, leo tutakuaminije Mwalimu?
 
Back
Top Bottom