Hakuna ubaya ukijiuliza hili kuhusu ndoa...!

Hakuna Lolote!!! hii nchi inaharibiwa kwa kuwa na uwezo mdogo wa kufikiri kama hivi..tunaona wanandoa kibao wanafanya mambo ya aibu...Ndoa ni msalaba na sio kipimo cha akili au uwezo wa mtu kufikiri....kila mtu anaishi mara moja tu...its you who define your destiny...not living other's destiny.....Badili mtazamo.

Eiyer LIKE this. . . . . . . . . . . .
 
wanasema ukiwa umeoa/olewa eti heshima ndio inakua kubwa zaidi maana kampuni zingine wanataka kiongozi ambae ni family man/woman. ukiwa single unaonekana mhuni au mtu wa kutembea na kubadilisha wanawake mara kwa mara kitu ambacho kinachafua image ya kampuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom