Congressman
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 814
- 2,419
Hawa jamaa ni very conservative, slow, backward and premitive institution.
Upande wa customer care ni wabovu na wameoza. Unaweza kuweka hela zako vizuri kabisa ila kuzitoa sasa utazungushwa kama deni. Najua hata humu JF wapo watakuja kujitetea ila uliza wateja wa UTT watakwambia.
Mfano hela zaman ilikuwa unatoa within 2 days ulikuwa unapata, sahivi hawa wapuuzi wanaweza kuchukua hata week. Kiukweli hamna taasisi hapa.
Simu hawapokei, ukienda ofisini kwao ndo matatizo