CK Allan JF-Expert Member Joined Aug 14, 2013 Posts 2,784 Reaction score 6,179 Jan 15, 2017 #1 Hapa nitaweka zile "hakuna zote zilizokubaliwa kisheria 1. Hakuna kuvaa majoho kwa wahitimu wasio kuwa na shahada.... 2. Hakuna kupanda madaraja wala uhamisho kwa watumishi Wa uma mpaka hapo itakapotangazwa tena. 3. Hakuna nyongeza za mishahara.. 4. Hakuna field kwa wanafunzi Wa mwaka Wa kwanza.. 5. Hakuna chakula cha msaada..by the way hakuna njaa.. 6. Hakuna kukariri darasa kwa form two watakofeli.. 7. Hakuna ajira kwa walimu Wa Sanaa.. 8. Hakuna katiba mpya.. 9. Hakuna mikutano ya kisiasa... 10. Hakuna kurundikana kwa vyeo.. 11. Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha!! Naamini na wewe unaweza kutirirka hapa ukianzia na neno "hakuna"..
Hapa nitaweka zile "hakuna zote zilizokubaliwa kisheria 1. Hakuna kuvaa majoho kwa wahitimu wasio kuwa na shahada.... 2. Hakuna kupanda madaraja wala uhamisho kwa watumishi Wa uma mpaka hapo itakapotangazwa tena. 3. Hakuna nyongeza za mishahara.. 4. Hakuna field kwa wanafunzi Wa mwaka Wa kwanza.. 5. Hakuna chakula cha msaada..by the way hakuna njaa.. 6. Hakuna kukariri darasa kwa form two watakofeli.. 7. Hakuna ajira kwa walimu Wa Sanaa.. 8. Hakuna katiba mpya.. 9. Hakuna mikutano ya kisiasa... 10. Hakuna kurundikana kwa vyeo.. 11. Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha!! Naamini na wewe unaweza kutirirka hapa ukianzia na neno "hakuna"..
Mwendabure JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,138 Reaction score 1,045 Jan 15, 2017 #2 Hakuna kusema hakuna!
Rais2020 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2016 Posts 3,248 Reaction score 5,539 Jan 15, 2017 #3 Hakuna kusema kuna njaa
N ntemintale JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 956 Reaction score 1,878 Jan 15, 2017 #4 Ukikosoa unaitwa mchochezi. Miungu watu kazini.
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,533 Reaction score 28,282 Jan 15, 2017 #6 Hakuna uhuru wa vyombo vya habar
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,533 Reaction score 28,282 Jan 15, 2017 #7 Hakuna kuwapa dhamana wabunge wa upinzani
T Tanzania Njema Yaja JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 3,041 Reaction score 2,417 Jan 15, 2017 #8 Form 4 hakuna kupata matokeo mitandaoni bali watayapata mahakamani....
T Tanzania Njema Yaja JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 3,041 Reaction score 2,417 Jan 15, 2017 #9 Hakuna kuweka tinted kwenye magari kioo cha mbele...
T Tanzania Njema Yaja JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 3,041 Reaction score 2,417 Jan 15, 2017 #10 Hakuna kuweka sport light kwenye magari
Chachata JF-Expert Member Joined Apr 29, 2011 Posts 201 Reaction score 135 Jan 15, 2017 #11 Hakuna magazeti ya uchochezi
T Tanzania Njema Yaja JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 3,041 Reaction score 2,417 Jan 15, 2017 #12 Hakuna kunywa bia kabla ya saa 10 jioni.... ha haaa tunapangiwa muda kama tuko shule za sekondari vile...
Hakuna kunywa bia kabla ya saa 10 jioni.... ha haaa tunapangiwa muda kama tuko shule za sekondari vile...
T Tanzania Njema Yaja JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 3,041 Reaction score 2,417 Jan 15, 2017 #13 Hakuna baa yeyote kuwa wazi baada ya saa 6 usiku...
swissme JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 13,663 Reaction score 19,905 Jan 15, 2017 #14 Hakuna kuonyesha Bunge live. swissme
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,302 Reaction score 96,516 Jan 15, 2017 #15 hakuna Shishia, changudoa, ombaomba na mashoga Dar. Hakuna walimu kulipa nauli kwenye daladala Hakuna uchafu jumamosi Daslam
hakuna Shishia, changudoa, ombaomba na mashoga Dar. Hakuna walimu kulipa nauli kwenye daladala Hakuna uchafu jumamosi Daslam
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 52,569 Reaction score 164,403 Jan 15, 2017 #16 Hakuna kupanda ndege za mashirika binafsi kwa watumishi wa umma
whitehorse JF-Expert Member Joined Aug 29, 2009 Posts 2,570 Reaction score 4,455 Jan 15, 2017 #17 HAKUNA Pesa
esitena tetena JF-Expert Member Joined Aug 21, 2015 Posts 1,747 Reaction score 1,082 Jan 15, 2017 #18 hakunaga.
technically JF-Expert Member Joined Jul 3, 2016 Posts 13,634 Reaction score 58,272 Jan 15, 2017 #19 Hakuna Diaspora kumiliki eneo Tanzania kiukweli hili tamko la lukuvi nililishangaa sana.
Uta Uta JF-Expert Member Joined Feb 2, 2016 Posts 3,740 Reaction score 8,790 Jan 15, 2017 #20 Hakuna UKUTA