Ukilewa usichatiImagine tokea juzi nakula vyombo kuanzia asubuhi mchana jioni na usiku
Leo nimekunywa 17 tokea asubuhi
Uzuri nakula bia na nyamaa
Huku Moshi pamechafukaaa kila kona ni pombe na nyama tuuu
Jana pekee nilikunywa karibia kret nzima ya Bia
Hapo bado sijasemea hizi Konyagi na Valuu tunazomix hapo hujasemea mbege
Huku nimekuta pombe inaitwa Strong ndo kisungura cha huku ipo kama Smart Gin ni kali hiyo
Karibuni tulewe wanangu
Hapa naandika nipo chwiiii
Oyaa ni nomaa
Hii sikukuu huku Moshi ina laana kudadeki[emoji91][emoji91] sio kwa Vibe hili.
Yani pombe za kufakamia Kama kachomoka jela , binafsi naishi na pombe kila siku 24hrs kwa miaka yote niliyoanza jitegemea
Itakua kachomoka kifungoni kama wewe 😅Yani pombe za kufakamia Kama kachomoka jela , binafsi naishi na pombe kila siku 24hrs kwa miaka yote niliyoanza jitegemea
Leo mwenzio wamenipuna kwenye pool table afu aliye nifunga ni demu roho inaniuma sana walaqhiItakua kachomoka kifungoni kama wewe 😅
Pole sana, jaribu tena 😅 🤣 !Leo mwenzio wamenipuna kwenye pool table afu aliye nifunga ni demu roho inaniuma sana walaqhi
Huyu namuogopa sana 😀 nilikuwa na 5k nilipuna mazoba nikapiga 40k sasa huyu bibie nikamzarau alichonifanya kaniharibia siku Leo huwa naumia sana kufungwa na mwanamke kwenye pool table 🥲😭😭😭Pole sana, jaribu tena 😅 🤣 !
Huu sio mwandiko wa mlevi, upo zako unakunywa maji ya tapImagine tokea juzi nakula vyombo kuanzia asubuhi mchana jioni na usiku
Leo nimekunywa 17 tokea asubuhi
Uzuri nakula bia na nyamaa
Huku Moshi pamechafukaaa kila kona ni pombe na nyama tuuu
Jana pekee nilikunywa karibia kret nzima ya Bia
Hapo bado sijasemea hizi Konyagi na Valuu tunazomix hapo hujasemea mbege
Huku nimekuta pombe inaitwa Strong ndo kisungura cha huku ipo kama Smart Gin ni kali hiyo
Karibuni tulewe wanangu
Hapa naandika nipo chwiiii
Oyaa ni nomaa
Hii sikukuu huku Moshi ina laana kudadeki[emoji91][emoji91] sio kwa Vibe hili.
Uje basiItakua kachomoka kifungoni kama wewe 😅
Wahuni sio watuAngalia, chunga sana, USIANGUSHE GARI.. vijana hawachelewi kukupasulia yai
Imagine tokea juzi nakula vyombo kuanzia asubuhi mchana jioni na usiku
Leo nimekunywa 17 tokea asubuhi
Uzuri nakula bia na nyamaa
Huku Moshi pamechafukaaa kila kona ni pombe na nyama tuuu
Jana pekee nilikunywa karibia kret nzima ya Bia
Hapo bado sijasemea hizi Konyagi na Valuu tunazomix hapo hujasemea mbege
Huku nimekuta pombe inaitwa Strong ndo kisungura cha huku ipo kama Smart Gin ni kali hiyo
Karibuni tulewe wanangu
Hapa naandika nipo chwiiii
Oyaa ni nomaa
Hii sikukuu huku Moshi ina laana kudadeki[emoji91][emoji91] sio kwa Vibe hili.
Unaniita halafu pa kuja huniambii 😅Uje basi
Kule kule kwa janaUnaniita halafu pa kuja huniambii 😅
karibu tena jukwaani...kumbe ulikua sehem unakunywa 24_7Yani pombe za kufakamia Kama kachomoka jela , binafsi naishi na pombe kila siku 24hrs kwa miaka yote niliyoanza jitegemea