kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,120
- 24,397
Imagine tokea juzi nakula vyombo kuanzia asubuhi mchana jioni na usiku
Leo nimekunywa 17 tokea asubuhi
Uzuri nakula bia na nyamaa
Huku Moshi pamechafukaaa kila kona ni pombe na nyama tuuu
Jana pekee nilikunywa karibia kret nzima ya Bia
Hapo bado sijasemea hizi Konyagi na Valuu tunazomix hapo hujasemea mbege
Huku nimekuta pombe inaitwa Strong ndo kisungura cha huku ipo kama Smart Gin ni kali hiyo
Karibuni tulewe wanangu
Hapa naandika nipo chwiiii
Oyaa ni nomaa
Hii sikukuu huku Moshi ina laana kudadeki
sio kwa Vibe hili.