Hakuna sababu inayozuia mwanamke asichepuke

Tangia lini mapenzi yakawa kigezo cha watu kuamua kuoana hapa Afrika na hususani Tanzania yetu? Vigezo watu wanavyotumia kuamua kuoana hapa Tanzania ukihesabu 1-5 mapenzi haimo, ...
 
Na ndio maaana hawaishi kuchepuka
 
Tangia lini mapenzi yakawa kigezo cha watu kuamua kuoana hapa Afrika na hususani Tanzania yetu? Vigezo watu wanavyotumia kuamua kuoana hapa Tanzania ukihesabu 1-5 mapenzi haimo, ...
Mbona akili yako imekas BEVO kiasi hicho?
 
Ndio maana huko Mara wanawafyeka viganja kwa mapanga maana wanakera hawa wadudu
 
Tena huko ndo bharaa ila ukiwacheki kwa nje unaeza ukahisi ndoa yao ina furaha ila reality unakuta mmoja analala sebleni yaani izo kelele zake hazivumiliki
.Nikweli nimesha shuhudia kwenye ndoa za ndugu ni balaa, ndoa hizi nihatarii tupu ,
Mimi mwaka kesho natarajia kuvuta jiko aisee nione hii fainal ya ugenini.
 
Back
Top Bottom