maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,096
- 4,758
Ni hivi wanaume wengi tunafikiri mwanamke akikubali kuolewa na wewe ndio anakupenda koo sio rahisi kukucheat kitu ambacho si kweli.
Ukweli mchungu ni kua wanawake wengi wanakubali kuolewa na wewe ili tu apate heshima kwene jamii inayomzunguka ila anakua hana hisia na wewe ata robo wengi wao wanajicha kwene kivuli cha mapenzi but reality hana hisia na wewe koo apo akikutana na mtu anaempenda inakua rahisi kumgeia tunda.
Umri: hapa nawazungungumzia wenye miaka 27... hawa wana kiu sana ya ndoa yaani kashaplay game nyingi sana kaacha na kuachwa sana adi inafika hatua anajimea mwanaume yeyote ataempenda na kumjali yupo tayari kuolewa nae, kitu ambacho si kweli inamuia ngumu kwa upande wake coz hicho kitu anakua nacho kabla ya kuolewa ila akishaolewa na kuishi miaka mingapi ile ya ndoa anamkinai mshkaj asa happy anaanza kutafuta kipenda roho yake.
Matatizo na umaskini unaotuandama: unakuta mtu sawa yuko kwene ndoa ila sasa umaskini mkubwa yaani father house kila akipambana hollah, ataanza kidogo mazoea na mangi kukopa kopa kidogo kidogo mwisho wa siku anashindwa kulipa akijitathmini hana cha kumlipa mangi koo final anaona bora tu ambless mbunye ili mangi apunguze machungu final inakua ndo inakua tabia yake.
Poor performance of men: maisha ya town bhana vyakula vyetu ndo vile vile chips, wali,mihogo ndo mama ntilie wengi wanavotupikia, u bize na uvivu wa kufanya mazoezi unatufanya tutoe show mbovu kitu ambacho wenzi wetu hawaridhiki nacho wanaamua kutoka na wakaka wa kazi akikuheshimu kidogo anakua na dildo.
Kuzoeana: some time sie wanaume tunazizoea ndoa yaani kwa kua wewe uko buzy basi unaleta u bize adi kwene ndoa inapita wiki bila show na ata ukipiga show inaakua ya kinyonge apo mwenza wako lazima achukue point 3 za kuchepukia.
Mi sio motivation speaker naongea uhalisia ukiona nazingua temana na Mimi fanya mambo mengine
Kwa wenye pesa niwatakie weekend njema ila kwa wale wezangu na Mimi niwatakie ijumaa,jumamosi na jumapili njema Mungu awatie nguvu