Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,645
- 1,690
WanaJF hii ni hoja nzito haihitaji majibu mepesi. Kifupi nchi ina rais kama ilivyo utaratibu lakini naomba niwapeni siri moja kauli ya rais ndiyo ya mwisho kabisa hivyo rais anatakiwa kuongea katika mambo ambayo ni sensitive kabisa. Sasa tatizo la nchi hii, hali ya uchumi inadorora sana hata kama ungekuwa wewe ni rais ungesema nini, ni bora kukaa kimya na kuchukua hatua kimya kimya kuliko kusema uongo na hayo uliyosema yasitokee. Kimya cha JK kina maana kuliko kuongea ongea halafu mambo yaende kinyume. Suala lingine analoshtumiwa JK ni kuhusu maamuzi magumu.
Wana Jf,
kuna wau wanasema eti kwa jinsi mambo yalivyo kwa sasa, hili li nchi ni kama halina Rais kwa sasa. Maana kila kitu kiko shagalabagala na hatujasikia mikakati yoyote ya kukabiliana na hali ngumu...
Wengine wanafikia hatua ya kusema eti mara ya mwisho nchi hii kuwa na Rais ni mwaka 2004, baada ya hapo, tumekuwa tukisonga mbele kwa kudra za mwenyezi Mungu.....
Kazi ipo!........................
in red, mkuu unataka kunishawashi kwamba kimya kingi kina mshindo mkubwa...
Kwan jk ni rais wa wap jaman?
Tuna waziri wa mambo ya nje