Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

Naunga mkono mada hii kwa sana tu. Mke wangu ndo kila kitu kwang na namin yeye ndo mzur na mtamu kuliko woooooote kwa kila jambo coz nilimchagua mwenyewe bila shurut na nkaridhika kwamba ananifaa kabisa. Nampenda sana mke wangu mpenzi
 

Cha kusikitisha wengi wenu hamthamini hayo yote. Nlisikitika majuzi kwenye daladala mkaka anamjibu mkewe ovyo. Kaulizwa yuko wapi anamjibu eti ' Niko mbinguni'! Ndo mana mnapataga laana za wake zenu afu mnadai eti wana mikosi!
 
Naunga mkono mada hii kwa sana tu. Mke wangu ndo kila kitu kwang na namin yeye ndo mzur na mtamu kuliko woooooote kwa kila jambo coz nilimchagua mwenyewe bila shurut na nkaridhika kwamba ananifaa kabisa. Nampenda sana mke wangu mpenzi

kila la heri kaka na ulichoandika
 

Umenena vema, umekosea sana pale uliposema, 'Unaikumbuka sana siku ile ya ndoa yenu'.
Btw, siku hizi ndoa ni fomalitis.
Wapo binadamu katikati ya ndoa wanawakumbuka wapenzi wao wa outside!
 
Eiyer Like like

wanaume kama vile wakienda restaurant pale wanapoagiza wakiona mwenzake kaagiza anaona kizuri kuliko alichoagiza yeye...
 
Last edited by a moderator:
Ur very right my dia...na deep down in their hearts wanajua hilo sema tamaa ndo zinawaangusha dhambini

You are the only lady who knows the truth. Kwa imani hii uliyonayo nyumba yako itasimama imara daima.
 
kwa uzi u shetan kichwa kinamuuma ni ujumbe mzito nawakuaribu kazi ya lucifer, kaka subiri baraka zako toka kwa Mungu,we need pple like u so that MMU can be used to change othes positivelly and not to enable lucifer destroy the world
 

Most of time I agree with ur comments ila kwa mtu aliyeoa akija kwako kutaka uroda si maana yake kwamba anakupenda kuliko mkewe. Our wives have a lot of things and values which we will never get from U. Amini usiamini kuwa wanaume wanajuta sana baada ya kumaliza kupiga games za mchangani na kuwasaliti wake zao.

Mi nawashauri wanaume waliooa watulie na wake zao maana huko ndo kwenye mapenzi ya kweli tuachane na vishawishi vya shetani. Kwa upande wangu sijawahi na sitowahi kupenda mwanamke mwingine kimapenz zaidi ya mke wang ambaye kwangu ndo kila kitu na ananipa kila nachohitaji ktk anga za mapenzi na ninaridhika.

Nakusalimu lara 1
 
mlio oa mpo? mmeelewa? au ndo mnajifanya hamsikii lakuambiwa ..ila mtoa mada jaribu kulinganisha pande zote mbili sio unawabana wanaume tuu tu kwani hao vimada wanaotembea na waume za watu wengine wanaitwa ni wake za watu
 
Angekua anasikia nngemshukuru Mungu....
 
maana hali si hali ndoa NYINGI ni majanga kaka!

Nikweli ndoa nyingi ni majanga,lakini unadhani ni kitu gani kinafanya zinakuwa majanga?

Hiki nilichokisema hapa ni kimojawapo,vingine??
 
Lara 1 anasema kweli kabisa, siyo kweli kuwa mke wako nimzuri kuliko wanawake wengine , Ukweli ni kwamba ukioa unapaswa uridhike na mke wako na kuaminisha ubongo wako kuwa mkeo nimzuri kuliko wanawake wengine . kiukweli mkeo anaweza kuwa mzuri lakini hawezi kuwa mzuri kuliko wanawake wote duniani.
 

Kama Kweli....Ubarikiwe Kaka Yangu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…