Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

Every word of this is true kwa kweli

 

Sijui kama unajua hili

Hebu jaribu kuwa unapunguza maneno yasiyokuwa hayahitajiki kwenye post zako
Napata shida sana kukuelewa

Punguza maneno mengi !!
 
Hilo nalo neno; maneno ya busara tupu
 
well said baba paroko..wa kuelewa wataelewa..
wa sikio la kufa, watabakia viziwi.
 
ni maneno sahihi kwa wale waliowachagua wake zao wenyewe na wale waliooa kwa hiyari yao.
 
usijidai kipofu kwenye huo ukweli Eiyer . Labda uwe unaish sayar nyngne
 
Last edited by a moderator:
usijidai kipofu kwenye huo ukweli Eiyer . Labda uwe unaish sayar nyngne
ila wanawake wazuri wapo sana zaidi ya wake zenu, hata sie tunawaona wanaume wazuri zaidi ya wanaume zetu ila kikubwa ni kujiheshimu na kumuheshimu uliyenae na kuridhika nae basi. kwani ukioa /olewa ndio vizuri huvioni?
 

i like it daaaa! we waukweli can we meet? natamani nikusikie live
 

asante Eiyer kwa kugusa kunako
hao wanaume wakodoaji kwa nini wasiwamake
wake zao wakawa kama wanavyotaka?hakuna
mwanamke mbaya duniani,mwanamke matunzo tu!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…