Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

Hakuna mzuri zaidi ya mkeo ......!!!!

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,914
Ni kawaida kusikia Wanaume makazini au mahali popote pale pa mikusanyiko yetu kuwasifia baadhi ya wanawake wanaokatiza mbele ya macho yetu,kitendo hiki hutupelekea wakati mwingine hata kuingia majaribuni

Hili jambo la kumsifia mwanamke ambae umemuona siku moja tu ni kitendo ambacho sikubaliani nacho hata kidogo,mwanamke ambae umemuona siku hiyo tu na ukazuzuka na mguu au makalio tu sio sahihi kabisa

Sidhani kama ulikosea ulipomuona mkeo na najua unaikumbika sana siku ya ndoa yenu
images
images

Huyu ni mwanamke uliyemchagua kati ya wana wake zaidi ya Bil 3 walioko duniani
Umemchagua akulelee wanao
Umemchagua akupikie chakula
Umemchagua akupe huduma zote tena katika maisha yako yete
Iweje uwaone wanawake wa mitaani kuwa ndio wazuri??
Unadhani unakuwa unamtendea haki mkeo kweli?

Ukweli ni kuwa hakuna mwanamke mzuri kuliko mkeo dunia yote hii na kutolea macho wanawake wapitaji tu kama hawa sio sahihi
images
images

Hao ni wapitaji tu na hicho unachokidhania ni bora kiko kwa mkeo na ni bora zaidi

Hakuna zaidi ya mkeoa na jaribu kumpenda na kumheshimu zaidi
Huyu ndie ubavu wako na hakuna kama yeye
images


Hebu mpende mkeo na jisikie fahari kuwa nae bana ........!!!!!!!!
 
Kama kuna anayezuzuka na makalio na mguu, aoe wa aina hiyo ili awe anazuzukia ndani kwake!

Mkuu,
Eti hao sio wife material !!!!!!!
 
Ur very right my dia...na deep down in their hearts wanajua hilo sema tamaa ndo zinawaangusha dhambini

Wacha baba paroko niwahusie wasije wakaanguka dhambini ....!!!!!!!!!
 
ukiona mwanaume akitamani mke wa nje ujue aliyenae anamapungufu makubwa sana
sasa sijui ni nani anaoa mwanamke aliyekamilika kotekote sura ,ongea yake,huruma,na mambo mengine kemukemu
usaliti duniani hauwezi kuisha mpaka tunazikwa wengine wanazuzuka na ------ wengine papuchi wengine macho wengine ongea wengine sura duuuu malizieni mengine
 
  • She is the one who decided to put up with all(ALL) your short comings and weaknesses forever
  • Umemkosea mara nyingi na amekusamehe na mko pamoja
  • Amewaacha wanaume wengine wote na anakuwaza wewe tu...Hata kama akilalamika unachelewa kufika nyumbani-(Imagine someone who wants to see you there na humpi chochote). Wakati kwengine kila mtu yuko busy na mambo yake
  • Big up kwa wives wote!!!
 
ukiona mwanaume akitamani mke wa nje ujue aliyenae anamapungufu makubwa sana
sasa sijui ni nani anaoa mwanamke aliyekamilika kotekote sura ,ongea yake,huruma,na mambo mengine kemukemu
usaliti duniani hauwezi kuisha mpaka tunazikwa wengine wanazuzuka na ------ wengine papuchi wengine macho wengine ongea wengine sura duuuu malizieni mengine

Kulikuwa na haja gani ya ku quote mada nzima ndugu yangu??

BACK TO TOPIC
Kama hakuna aliyekamilika huyo unaemtamani nae si hajakamilika?
Unakuwa unaongeza tatizo au unapunguza?
 
Ur very right my dia...na deep down in their hearts wanajua hilo sema tamaa ndo zinawaangusha dhambini

hahha jamani warembo wanatutwga...hasa na hivi vicomdom wanaviita leggings loh!! hatareee tupu na wengine sie rahisi kutamani.
 
Mhhhhhhhhhhhhh!!!!!!

WAZURI TUPO BANAAA !!!!!!!! Kiuhalisia watu kibao mkeo HAGUSI LEVEL ZAO!!!!!!! Wengi wake zenu ni 5/10 na migume gume iliomshinda mtu ni 10/10 ikipungua sanaa ni 9/10. Nani anabisha? Unataka kusema Klyn hamkuti mke wa machache? PALEASEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!! Dont be so dramatic.

The point is MKEO ANA INTERNAL BEAUTY na most of all ANAKUABUDU NA MAPUNGU YAKO LAKI 5000000000000000!!!!!!!!!!!! Kwako amefika bei. Ila sisi wa nje japo EXTERNALY tunamkimbiza mkeo mbayaaaaaaaaaa ila to us wewe kama wewe YOU MEAN NOTHING TO US! AND YOU WILL NER AMOUNT TO ANYTHING IN OUR LIVES THAN THE POWER OF YOUR WALLET!!!!!!!!! We dont give a damn about our health,your peace of mind or your moral levels. When was the last time small house ilikwambia uende CHURCH au kwa DR? Your wife tells u to go t church cause SHE IS WORRIED YOU WONT MAKE IT TO THE NEXT LIFE N SHE WILL BE SAD SINCE SHE WOULD MARRY U AGAIN IN THE NEXT LIFE. But small house doesnt give a f. how any days u last in this life.

The funny thing about most men THEY NEVER REALIZE HOW LUCKY THEY ARE!!!!!!!!! We mtu anakupenda janua to december, karizika na wewe kwa hali zote, she is proud of u n using your name. Ila wewe aaaah! Vya kunyonga huvitaki wataka vya kuchinja.

SOME TIMES TOO MUCH BLESSING AND LUCK GETS BORING!!!!!!!!!! Its when Bad news comes fun and interesting. We are always available to ENTERTAIN your Ego, but IT ALWAYS COSTS YOU MORE THAN MONEY!!!!!!!!
 
^^
Naam somo zuri sana, thamani ya mke sio kumlinganisha na wengne bali kumtunza, kumpendezesha awe sawa upendavyo.
Tatizo ni kuwa wenye nao hawajali, wasio nao wanajali..
Tuamke wanaume! Tamaa ni pacha wa uonevu
^^
 
Back
Top Bottom