Throne Heir
Member
- May 17, 2018
- 63
- 109
Kwa Kipindi Kirefu binadamu wameishi kwenye Uelewa hafifu wa Kuhusu mwisho wa Dunia, hii inaweza kuwa ni kwa makusudi au kwa bahati mbaya.
Kuhusu mwanzo na mwisho wa DUnia asilimia kubwa ya wanadamu uelewa wao kuhusu chanzo cha na asili ya Dunia ni kutokana na vitabu vitakatifu kama Quran na Biblia ambavyo vinawafuasi wengi.
Sina shaka juu ya maneno yake ila shaka yangu ni tafsiri wanadamu waliyoitoa kuhusu Mwisho wa Dunia. Vitabu vyote hivi vinasema kuwa kutakuwa na mwisho wa Uhai au uwepo wa mwanadamu na viumbe wengine hapa Duniani.
Vitabu hivi hakuna sehemu vinasema Kuwa Dunia Kama Sayari (Earth) ambayo ndio tunaishi sisi kwa sasa itafikia mwisho wake yaani mwisho wake eidha kwa kuyeyuka au kupukutika au kupotea hakuna kitabu Kinachosema Dunia itafikia Mwisho wake.
Binadamu sijui walitoa wapi matumizi ya Neno "Mwisho wa Dunia" badala ya Kusema mwisho wa Uhai wa viumbe waliopo kwenye sayari ijulikanayo kama Dunia au Earth. Dunia hii na Sayari zingine kuanzia leo elewa ni za milele kisicho milelel ni viumbe vilivyopo. Don't Get Twisted.. Emancipation.