Hakuna Mweza Kama Wewe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hakuna Mweza Kama Wewe!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by eRRy, Dec 24, 2009.

 1. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  http://www.youtube.com/watch?v=w1NbFFMuIic&feature=player_embedded#

  Pengine wewe ni miongoni mwa watu wanaopitia majaribu magumu kiasi kwamba unatamani kujiua kutokana na kuona huna tena msaada baada ya kuhangaika huku na kule. Yawezekana umeenda kwa waganga wa kienyeji, umetafuta msaada kila kona hujafanikiwa,
  Lakini wakati huu tukiwa tunaelekea kwenye sikukuu za X-Mass na Mwaka Mpya unaambiwa kuwa, matatizo unayopitia ukimkabidhi Jehova sasa hivi hutakuwa kama ulivyoamka asubuhi.
  Nijambo gani lililogumu kiasi kwamba Mungu ashindwe kukusaidia? Hakuna! Sasa ili kusherehekea vizuri sikukuu hizi za X-Mass na Mwaka Mpya ungana na Mtumishi wa Mungu Kabula George katika wimbo wake wa HAKUNA MUWEZA.
  Urudie mara nne kwa makini kisha liangalie tatizo lako kama litaendelea kukusumbua ukisha fahamu uweza wa Mungu, na hakika sikukuu yako itakuwa njema.​


  Kwa wana JF Wooooooooooote, Nitakuwa very mean nisiposema:​

  [​IMG]
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Thaaaaanks
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Dec 25, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,563
  Likes Received: 3,860
  Trophy Points: 280
  same to you brother

  [​IMG]
   
 4. S

  Sideeq JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2009
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 2,417
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mathew 7:22 -23 7:22 Wengi wataniambia Siku ile ya hukumu: `Bwana, Bwana! kwa jina lako tulitangaza ujumbe wako, na kwa jina lako tuliwatoa pepo na kufanya miujiza mingi.`
  Hapo nitawaambia: `Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni mbele yangu, enyi watenda maovu.`

  Swali, je sio Wakristo wanomwita Yesu bwana? sio Wakristo wanao toa pepo kwa jina la yesu? sio wakristo wanofanya mambo mazuri kwa jina la Yesu?
  Baad ya yote hayo Yesu atawaambia "`Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni mbele yangu, enyi watenda maovu.`
   
 5. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #5
  Dec 25, 2009
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Sideeq,
  Hujamwelewa na hutamwelewa Yesu. Alichomaanisha ni wale wanafiki wanaojiita Wakristo lakini matendo yao yanawasuta. Akina Kakobe ambao makanisani mwao wameficha paka weusi wa uchawi wa Kinigeria huku wakijidai kutangaza utukufu wa Yesu.
   
 6. eRRy

  eRRy JF-Expert Member

  #6
  Dec 25, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135

  cha muhimu ndugu shika saaaaaaana ulichokipokea asije Mwovu akakitwaa
  !
   
Loading...