lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Hakuna,mwekezaji ambaye atayewekeza pesa yake mahali ambapo hakuna utulivu wa kisiasa,kama serekali isipobadilika,kwa kutoa matamko ambayo yakuwa ndio sheria,wawekezaji wote watakimbia nchini kwetu,ni muhimu tujue tukiamka kesho yake ni nini kitachotokea,kuliko kuishi,kwa wasiwasi,ambapo kesho hatujui,ni matamko gani yatatolewa