Hakuna Mwanaume mkorofi mbele ya mwanamke Mtii.

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,511
Wanawake kaa mkijua hakuna mwanaume ambae ni mkorofi kwa mwanamke mtii, mnyenyekevu na anaejua shuka kwa mwanaume, kama yupo mwanaume ambae anaenda against basi huyo sio mzima na anaenda kinyume na katiba yetu.

Sisi wanaume tunatambua hili tutachepuka tutafanya ujinga wote ila kwako tutarud tu na utaheshimika sana, ila kama ww ni mjuaji, kiburi, dharau UTAPATA TABU SANA na kuolewa sahau.

NB: wanawake wa dizain hii sasahiv hawapo na kama utampata aisee mlinde huyoo asiende.
 
Hili suala lina ukweli mkuu ndani yake. Lakini utamwambia mwanamke wa aina gani saivi akuelewe?
Wanawake wenyewe saivi huwaambii kitu, wanajua kila kitu kuanzia vibamia hadi namna za kuridhishwa. Na mitandao yenyewe hii inavyofanya mambo yaende kasi sana
 
Kwani hata mnajua mnachotaka basiii, mkiwapata watii mnachowafajya hata shetani anasubiri.
Inshort ni kuwa mwanaume anapenda mwanamke asiempa attention.

Halafu ni heshima gani unayompa mkeo ilhali unachepuka na kufanya maujinga yote? Au kuna version mpya ya heshima[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
 
Refer NB mkuu
 
Me napenda nyie wasumbufu
 
Refer NB mkuu
A simple case huwa wanafunzi wa chuo au wanawake ambao umri ulio beyond 25 maana hata kama hawajafanya ila wamekuwa exposed na mazingira au marafiki mbalimbali. Therefore judgements nyingi wanazofanya zinakuwa based on experience wakati hisia na mioyo yao huongea kitu tofauti.
 
Kumbe kumchepuka Mke mtii sio ukorofi?.Hapo mwanaume mwenzangu umefeli.

Back
Top Bottom