Hakuna mwanaume asiyependa ngono

Hakuna mwanaume asiyependa ngono

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,027
Reaction score
52,501
Nimegundua maisha ni uhuni mtupu, hakuna mwanaume asiependa ngono hata awe 'decent' vipi ukikaa vibaya unaliwa tu. Utashangaa ushaachiwa manyoya, vaa chupi ya chuma na ivue kitandani kwako tu.

Nawashauri wanawake wenzangu tujiheshimu, tuwe na principle zetu. Usimuonee mtu huruma wala nini, hakuna jipya.

Bora kuwa mpweke kuliko kuwa na mahusiano ya kugegedwa.
Mwenyekiti wa CHAPUTA-kinamama.
tunza bikra tukafaidiwe mbinguni na alshababu.kwenye bikra zao 70

Sikukuu njema.
 
Back
Top Bottom