Hakuna mwanamke mkamilifu

Hakuna mwanamke mkamilifu

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,632
ANGALIZO........

Ukiona Mwanamke ni Mzuri Sanaaaa,
yaani SURA KALI....
SHEPU HILOOO...
MIGUU YA UKWELI..
AMESOMA VIZURI..
Yaani unahisi kama KAPENDELEWA KILA KITU
jua kuna kitu kimoja tu somewhere hakiko sawa...
HUWEZIPEWA VYOTE wanasema Wahenga...
Wengine Wazuri kinomaa kama amejiumba lakini INJINI rejeta inavuja,
Ukipiga utadhani Unafua Maturubai...
Mtera Si Mtera Ruvu Chini Si Ruvu..Balaa!
Mwinginea mzuri mpaka basi ila ana KIFAFA...Katikati ya mechi demu anazima unaanza kumpepea na The Guardian...
Wengine wazuri ila wana mashetani ukifika nae Room Maruhani yanapanda anakupiga LOBA, mpaka unahisi umeshikwa na Baunsa wa Billz...
Usione demu mkali anakuzungusha ukadhani hataki KULIWA...Wana siri nzito wanajua wakikupa ukajua UTAWATANGAZA...
Anakuzungusha kulinda CV isishuke...
 
Hii thread ina faida gani? Inatufindisha nini? Tuchangie nini?

SWALI langu kwako, Je, yupo binadamu mkamilifu?

Vv
 
Siku zote ukikuta embe chini ya muarobaini ujue 'kuna kitu hakiko sawa'
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom