Mwanamke ukiamka asubuhi hutandiki kitanda, chakula kipo ndani bado huwezi kupika una dai jioni niku letee chips mvurugo, hata vumbi la kabati hulioni japo ulifute kuwe kusafi, bafu je tunayo ogea huwezi kuiosha ... Nguo achana nazo ntafua mwenyewe zisi kuchoshe hata zako bado una taka niku saidie kufua? Women bana! Vitu vidogo vidogo kama hivi huwa vina nifanya nimshushe mwanamke sana hata kama nilikua na plan nae nzuri za mbele .. hata kama ni mkali kiasi gani... siku fanyi punda ila huwezi hata kupika tukala pamoja ? Mpaka zije chips na msosi upo ndani? Afu una niambia kesho ni funge safari kupeleka posa eti wife material??? Kuna mambo yaku funzwa kwenu kabla huja fikiria kuolewa.... ukija kwa mume ata kufunza yaliyo salia madogo madogo... ya msingi uta yapata kwenu kwa wazazi wako.