MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,092
- 7,236
Kwenye miji mikubwa na inayokua kwa kasi kuna wana wanawake wa namna nyingi , wazuri , wazuri
kiasi, wazuri sana na wazuri kufuru.
Mwanamke yeyyote yule mzuri na wa kisasa ana wastani wa kutongonzwa na midume iliyokamilika 3. Je kwa mtirirko huu kuna mwanamke atayesalimika kupigwa pipe nje?
1.Idadi ya mitongozo / "sound" kwa siku moja:
2.Idadi ya mitongozo /:sound" kwa wiki moja.
3.Idadi ya mitongozo /"sound" kwa mwezi mmoja.
4.Idadi mitongozo/ "sound" kwa mwaka mmoja.
Je, kwa wastani huo hapo juu, kuna mwanamke anayeitolea nje mitongozo yote yaani asinase hata kwa mitongozo 10 ? Abadani, siamini na sitoamini kamwe.Natafakari sana kama kuna umuhimu wa kuoa na kuishi na mwanamke huyo huyo maisha yangu yote.
Tafakari, chukua hatua

- Midume ya mbegu 3x1( Siku)= 3(Idadi ya mitongozo anayokumbana nayo mwanamke kwa siku moja).
2.Idadi ya mitongozo /:sound" kwa wiki moja.
- Midume ya mbegu 3X 7 (siku)= 21 (Idadi ya mitongozo anayokumbana nayo mwanamke kwa wiki moja)
3.Idadi ya mitongozo /"sound" kwa mwezi mmoja.
- Midume ya mbegu 3X 30 (siku)= 90 (Idadi ya mitongozo anayokumbana nayo mwanamke kwa mwezi moja)
4.Idadi mitongozo/ "sound" kwa mwaka mmoja.
- Midume ya mbegu 3X 366 (siku)= 1,098 (Idadi ya mitongozo anayokumbana nayo mwanamke kwa mwaka moja)
- Midume ya mbegu 3X 1,830 (siku)= 5,490 (Idadi ya mitongozo anayokumbana nayo mwanamke kwa miaka 5 mfululizo ).