Ulimbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 3,766
- 4,046
Katika hali ya kawaida, mtu anapoamua kunywa sumu, kujinyonga au kutumia njia nyingine yeyote ya kujiondolea maisha, ukitokea njia nyine tofauti na hile aliyokuwa amekusudia kuondoa maisha yake, ni vigumu sana mtu huyo kukubali plan B.
Mfano: Kama aultaka kunywa sumu, ukamnyima sumu ukamwambie umpige risasi ili afe hata kubali.
Cheki hii picha hapa chini
Mfano: Kama aultaka kunywa sumu, ukamnyima sumu ukamwambie umpige risasi ili afe hata kubali.
Cheki hii picha hapa chini