Hakuna mtu anaekosa story kuhusu mtoto wa mchungaji kufanya uhuni

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,311
4,018
Kusema kweli katika stori stori na watu hauwezi kukosa mtu kukwambia kuhusu watoto wa pasta wanavyofanya mambo ya dunia (secular).

Kuwa mlevi, kuvuta bangi, kuzalia nyumbani, kuruka madebe, kuvaa vinguo vifupi, ubraza meni, etc , ni baadhi ya tambia utazikuta kwa watoto wa pasta kama vile utazikuta katika familia zisizokuwa za usimamizi wa kanisa.

Ni kwamba tu watu hawategemei mtoto wa mchungaji kuwa hivi ndio maana huwa wanashangaa kuona mmoja ya watoto wa pasta kuwa na tabia mbovu za kidunia wakati baba yake ni symbol ya wema na maadili

Watu wanashindwa kuelewa pasta ni pasta, mtoto ni mtoto, wanasahau kuwa majaribu ni ya kila mtu na lakini pia kuna wale fake pastors ambao wanaishi kifeki feki kupelekea kutoweza kufundisha maadili kwa watoto maana maadili sio asili yao.

TUOMBEANE. AMEN.
 
Huyu jamaa baba yake ana kanisa na alipaswa kuja kuwa mrithi lakini yeye wala hajali hilo. Anakwambia hataki pesa chafu kwa madai baba yake anatapeli wafadhili kwa kujipatia pesa kwa kudanganya anawasaidia watoto walio katika mazingira magumu..

Kwa sasa ni mlevi mzuri tu
 
Hahaha daaah
 
Umenikumbusha mwamba mmoja nilikua nasoma nae anaitwa Bravius picha inaanza siku niliyoambiwa baba yake jamaa ni mchungaji nilicheka kinoma

Dogo anapuliza kush kinoma, anakula ugoro, Aliwahi kuiba ndoo 3 za lita 20 zimejaa makande ya wanafunzi sasa sijui aliiba akafanyie nini
 
Mkuu, binadamu ameumbwa akapewa madhaifu, akapewa tabia n.k, kwenye suala la cheo aghalabu inatakiwa ubadili mienendo na mfumo wa maisha yako kulingana na cheo.

mfano, mhasibu katika ofisi ya rais, lazima awe na tabia njema na nidhamu ikitokea anavuta bangi au kunywa pombe hakatazwi ila iwe kwa Siri na kwa faida yako na usianike hadharani.
 
Umenikumbusha mwamba mmoja nilikua nasoma nae anaitwa Bravius picha inaanza siku niliyoambiwa baba yake jamaa ni mchungaji nilicheka kinoma

Dogo anapuliza kush kinoma, anakula ugoro, Aliwahi kuiba ndoo 3 za lita 20 zimejaa makande ya wanafunzi sasa sijui aliiba akafanyie nini
Hahajaaj aiseee
 
Kusema kweli katika stori stori na watu hauwezi kukosa mtu kukwambia kuhusu watoto wa pasta wanavyofanya mambo ya dunia (secular).

Kuwa mlevi, kuvuta bangi, kuzalia nyumbani, kuruka madebe, kuvaa vinguo vifupi, ubraza meni, etc , ni baadhi ya tambia utazikuta kwa watoto wa pasta kama vile utazikuta katika familia zisizokuwa za usimamizi wa kanisa.

Ni kwamba tu watu hawategemei mtoto wa mchungaji kuwa hivi ndio maana huwa wanashangaa kuona mmoja ya watoto wa pasta kuwa na tabia mbovu za kidunia wakati baba yake ni symbol ya wema na maadili

Watu wanashindwa kuelewa pasta ni pasta, mtoto ni mtoto, wanasahau kuwa majaribu ni ya kila mtu na lakini pia kuna wale fake pastors ambao wanaishi kifeki feki kupelekea kutoweza kufundisha maadili kwa watoto maana maadili sio asili yao.

TUOMBEANE. AMEN.
Sawa pamoja na hayo unamtia aibu baba yako,,, ndo ulewe mpaka wakurudishe kwenu na mkokoteni, badilika dogo baba yako ni mtu mwenye heshima zake na kiigizo chema kwenye jamii
 
Kusema kweli katika stori stori na watu hauwezi kukosa mtu kukwambia kuhusu watoto wa pasta wanavyofanya mambo ya dunia (secular).

Kuwa mlevi, kuvuta bangi, kuzalia nyumbani, kuruka madebe, kuvaa vinguo vifupi, ubraza meni, etc , ni baadhi ya tambia utazikuta kwa watoto wa pasta kama vile utazikuta katika familia zisizokuwa za usimamizi wa kanisa.

Ni kwamba tu watu hawategemei mtoto wa mchungaji kuwa hivi ndio maana huwa wanashangaa kuona mmoja ya watoto wa pasta kuwa na tabia mbovu za kidunia wakati baba yake ni symbol ya wema na maadili

Watu wanashindwa kuelewa pasta ni pasta, mtoto ni mtoto, wanasahau kuwa majaribu ni ya kila mtu na lakini pia kuna wale fake pastors ambao wanaishi kifeki feki kupelekea kutoweza kufundisha maadili kwa watoto maana maadili sio asili yao.

TUOMBEANE. AMEN.
Kwa hiyo unashauri nini kifanyike?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom